Thank for the compliment lakini asiye mjinga hawezi kufikiria kwamba, huyo Zari akishakuwa na mimba ndo ataambiwa yeye! Lakini ushauri wangu kwako ni kwamba, kwa mwanaume kutangaza ugumba wa mwanaume mwenzake ni aibu... tena ni aibu kweli kweli! Hebu assume upo kwenye real world umekaa na wanaume na wanawake... hivi mwanaume mzima unaanzaje kusema kwamba mwanaume fulani hana uwezo wa kupiga mimba? Haya mambo tuwaachie watu kama akina
geniveros... ambao hata wakisema kwamba fulani hana uwezo wa kupiga mimba, siku wakiambiwa kwamba wapeleke kama hawajipigwa ujauzito, with confidence wanaweza kujibu siwezi kumpa mwanaume asiye na uwezo wa kupiga mimba! Sasa mwanaume kama wewe ukiambiwa kampe kama hajakupiga mimba sijui utajibu nini... matokeo yake utataka kurusha ngumi!!!!