Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304

Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo.
Akizungumza na Gazeti la Kiu, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambaye pia amewahi kutoka naye, Kidoti amesema haku-enjoy naye kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.