Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Hashim kimuonekano anaonekana tu mtamu... akikukunja lazima uombe pooo
weee mtoto weweee.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hashim kimuonekano anaonekana tu mtamu... akikukunja lazima uombe pooo
Hashim kimuonekano anaonekana tu mtamu... akikukunja lazima uombe pooo
kubongo ndio wapi...
Aseme tu kuwa wengine inawapwelepeta.
Kupenda is a package... the benjamin ($), the rungus, tabia, muonekano etc etc zinafanya package ikamilikeJust say that u want his benjamin($) that we can understand,lakini kumpenda tu? I dought it.
Mbona umepaniki..kuna mtu kaongea kuhusu uteuzi kwenye huu uzi??So now mnafukua makaburi yake eeeh?
Kuna kitu kinaitwa moving on. Unakaa chini unaongea na moyo wako. Unakubali kwamba kuna mahali ulikosea. Unajisamehe na unabadilisha maisha yako.
I believe Jokate alifanya hivyo na akaamua kubadili maisha yake. Akaanza ujasiriamali na akaweka discipline flani katika maisha yake ya kutoanika love life yake.
See? Imemzalia matunda and now she is shining.
Tumtakie mema katika position yake mpya ya kuwatumikia wananchi.
Go girlie. Aim Higher.
Mbona umepaniki..kuna mtu kaongea kuhusu uteuzi kwenye huu uzi??
Hahahaa haya bhnaWith my dirty mind, napata picha jinsi Msukuma anavyopwelepwetwa