Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana




Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .

Akizungumza na Gazeti la Kiu, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu Adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.

Kuhusu Diamond ambae pia amewahi kutoka nae, Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
Na huyu wa sasa vipi ha enjoy nae ?
 
Back
Top Bottom