Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Kila la kheri, ukiwa unarudi mjini usisahau kuja na mihogo.

Popote kuanzia Pugu kajiungeni hadi Gomz unaweza kunipata na kuniachia zawadi hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haina problemaa
 
😂😂😂😂😂
Kaburiii...
So now mnafukua makaburi yake eeeh?

Kuna kitu kinaitwa moving on. Unakaa chini unaongea na moyo wako. Unakubali kwamba kuna mahali ulikosea. Unajisamehe na unabadilisha maisha yako.

I believe Jokate alifanya hivyo na akaamua kubadili maisha yake. Akaanza ujasiriamali na akaweka discipline flani katika maisha yake ya kutoanika love life yake.

See? Imemzalia matunda and now she is shining.

Tumtakie mema katika position yake mpya ya kuwatumikia wananchi.

Go girlie. Aim Higher.
 
Back
Top Bottom