Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

huyu jamaa naona wali mla Bann moja matataaa na inaonekana kuna mod alkua anampa sana hizi mpka kuna uzi ame lala mika kupewa ban na ni wakitambo iko

Jamaa anadai, hata akisalimia tu, anakula bann
Screenshot_20200706-000059.jpg
 
Anajua, halafu ana zile za kupenya bila kuogopa kama alivyokuwa anacheza Allen Iverson, noma sana.
Ja Morant mshenzi sana huyu dogo. Kuna mechi na lakers alifanya steal wakati anadrib mpira akajifanya anampasia refa mdada, defence ya lakers ikapeleka macho kwa refa dogo akapiga easy layup.
 
Ja Morant mshenzi sana huyu dogo. Kuna mechi na lakers alifanya steal wakati anadrib mpira akajifanya anampasia refa mdada, defence ya lakers ikapeleka macho kwa refa dogo akapiga easy layup.

Kuna siku alitaka ku-dunk kwa kumruka Kevin Love.

Dogo ni shida sana yule
 
Yuko wapi now?

Kuna kipindi alicheza Japan ligi daraja la pili, baadae karudi US.

Recently kuna mashindano ya siku 11 yanaitwa The Basketball Tournament, ndiyo alikuwa amepata timu ya kucheza kwenye hayo mashindano, bahati mbaya kuna mchezaji amekuwa tested +ve Covid 19, hivyo timu haijashiriki.
 
Back
Top Bottom