Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Anacheza mdunguano mbagara ya Las VegasYuko wapi now?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anacheza mdunguano mbagara ya Las VegasYuko wapi now?
Sasa hivi katulizaHuyu mtoto malaya sijawahi kuona daaah..
Jamii forum ipo hata kabla ya hizo CV..... Ni makabuli tu tunayafukuaHuku sasa ni kuchafuliana CV
Duhh jamaa ana gundu mamaeeKuna kipindi alicheza Japan ligi daraja la pili, baadae karudi US.
Recently kuna mashindano ya siku 11 yanaitwa The Basketball Tournament, ndiyo alikuwa amepata timu ya kucheza kwenye hayo mashindano, bahati mbaya kuna mchezaji amekuwa tested +ve Covid 19, hivyo timu haijashiriki.
Kama ni mtumishi wa nyuma, ukiwa karibu na kidoti lazima uwe demotedSasa hivi katuliza
Duhh jamaa ana gundu mamaee
[emoji867]Huyu mtoto malaya sijawahi kuona daaah..
Kiaje mkuu, mbona mambo madogo haya....Huku sasa ni kuchafuliana CV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jf raha San, lolKuna mzee mapenzi ameyajulia ukubwani sasa hivi ndiyo mmiliki
Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .
Akizungumza na Gazeti la Kiu, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambaye pia amewahi kutoka naye, Kidoti amesema haku-enjoy naye kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
Joketi mbona hilo buno gumu sana hebu njoo nilipake grisi kidogoKiaje mkuu, mbona mambo madogo haya.... View attachment 1499516
Makaburiiiii... [emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]
Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .
Akizungumza na Gazeti la Kiu, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.
Kuhusu Diamond ambaye pia amewahi kutoka naye, Kidoti amesema haku-enjoy naye kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
Chombo ya fundi lakini kuna waundaji walishamtangulia.... Wakala cream... Yamebaki makoko[emoji43][emoji43][emoji43][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mods fungeni huu uzi au hadi mfuatwe na watu wa makumbusho?
Hamjui ni chombo ya fundi
Ndio ila chombo yake iheshimiwe kwa sababu ipo level nyingine.Chombo ya fundi lakini kuna waundaji walishamtangulia.... Wakala cream... Yamebaki makoko[emoji43][emoji43][emoji43][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]