Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Jokate: Hashim Thabit mtamu kuliko wanaume wote Bongo. Diamond siku-enjoy sana

Kuna kipindi alicheza Japan ligi daraja la pili, baadae karudi US.

Recently kuna mashindano ya siku 11 yanaitwa The Basketball Tournament, ndiyo alikuwa amepata timu ya kucheza kwenye hayo mashindano, bahati mbaya kuna mchezaji amekuwa tested +ve Covid 19, hivyo timu haijashiriki.
Duhh jamaa ana gundu mamaee
 
Na yesu fake je? 🤔🤭

Miss Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo .

Akizungumza na Gazeti la Kiu, Kidoti amesema kwa sababu ambazo amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja.

Kuhusu Diamond ambaye pia amewahi kutoka naye, Kidoti amesema haku-enjoy naye kwani yalikuwa mapenzi ya muda mchache sana.
 
Makaburiiiii... [emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Mods fungeni huu uzi au hadi mfuatwe na watu wa makumbusho?
Hamjui ni chombo ya fundi
 
Chombo ya fundi lakini kuna waundaji walishamtangulia.... Wakala cream... Yamebaki makoko[emoji43][emoji43][emoji43][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
Ndio ila chombo yake iheshimiwe kwa sababu ipo level nyingine.
Ni katika kuepusha yanayoepukika
 
Back
Top Bottom