ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.
Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.
Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.
Kajiandae tuje tucheze kokoro.
umeongea point sana mkuu amadeusity.....chukua like nyng nyng sana! nyani haoni kundule aisee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]wanafiki utawajua tu kwan ze boss lady ana watoto wanganp na bado life linaenda ivo ivo na mond?
bora angeolewa na hasheemKama amempenda kweli...hatojali 'kijiji' chake.
Watoto ni baraka,hakuna sababu ya kuvunja mahusiano kisa mwenzi wako ana watoto.
Kikubwa uaminifu tu.Unaweza kumkataa mwenye watoto ukaolewa/kuoa asiye na hata mtoto mmoja akaishia kukuletea watoto wa nje kila uchwao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilichoelewa hapo ni kutoa mimba mbili tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wanafiki utawajua tu kwan ze boss lady ana watoto wanganp na bado life linaenda ivo ivo na mond?
kwa hoja hyo hyo...huyu mleta mada angemshauri pia huyo Mond atafute mwanamke asiye na watoto kama Basketball Team[emoji12] ili amuoe atulie nayewanafiki utawajua tu kwan ze boss lady ana watoto wanganp na bado life linaenda ivo ivo na mond?
Wewe wasema...bora angeolewa na hasheem
Sijaona la maana, achen maisha binafsi ya watu. Yy ni MTU mzima na akili timamu hivyo mawazo yake ni sahihi ikiwa hajakiuka misingi na maadili ya kwao.Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.
Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.
Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.
Kajiandae tuje tucheze kokoro.