Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.

Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.

Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.

Kajiandae tuje tucheze kokoro.
 
Kweli mtoa Mada na hao wenzako mashabiki wa ndomo mpeshapoteza chakuongea maana mambo ya mahusiano ni ya wawili na si wengi halafu jamaa hata asipomuoa huyo kadadaa ataishi poa sana
 
Kama amempenda kweli...hatojali 'kijiji' chake.
Watoto ni baraka,hakuna sababu ya kuvunja mahusiano kisa mwenzi wako ana watoto.

Kikubwa uaminifu tu.Unaweza kumkataa mwenye watoto ukaolewa/kuoa asiye na hata mtoto mmoja akaishia kukuletea watoto wa nje kila uchwao.
 
wanafiki utawajua tu kwan ze boss lady ana watoto wanganp na bado life linaenda ivo ivo na mond?
umeongea point sana mkuu amadeusity.....chukua like nyng nyng sana! nyani haoni kundule aisee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Kama amempenda kweli...hatojali 'kijiji' chake.
Watoto ni baraka,hakuna sababu ya kuvunja mahusiano kisa mwenzi wako ana watoto.

Kikubwa uaminifu tu.Unaweza kumkataa mwenye watoto ukaolewa/kuoa asiye na hata mtoto mmoja akaishia kukuletea watoto wa nje kila uchwao.
bora angeolewa na hasheem
 
wanafiki utawajua tu kwan ze boss lady ana watoto wanganp na bado life linaenda ivo ivo na mond?
kwa hoja hyo hyo...huyu mleta mada angemshauri pia huyo Mond atafute mwanamke asiye na watoto kama Basketball Team[emoji12] ili amuoe atulie naye

ukisikia ushabiki maandazi ndo huu sasa
 
Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.

Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.

Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.

Kajiandae tuje tucheze kokoro.
Sijaona la maana, achen maisha binafsi ya watu. Yy ni MTU mzima na akili timamu hivyo mawazo yake ni sahihi ikiwa hajakiuka misingi na maadili ya kwao.
 
Back
Top Bottom