Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba


Jokate kitakachomponza ni kuona kwamba yuko liberal kuliko misingi. Hao waatu huzaa kama mende kwa sababu hawana gharama ya kutunza watoto. Kwa asili huwa hawana mawazo ya elimu zaidi ya kugombania vyeo bila misingi.

Hiyo ni asili japo kuwa kuna baadhi wameanza kustaarabika na kuona mbele.

La msingi arudi kwenye msingi. Kinyume cha pale, kikombe cha wema hatakikwepa.
 
Hakuna uganga Juu ya Yakobo wala uchawi Juu ya Israel
 
Uyu mtoa thread ye kaona humu JF ni kama Instagram vile
 
zari ana watoto wa ngapi kwani? na hao watoto ni wa baba 1 ?
 
Jamani vepee hakuna vya kuandika?mtu akiwa shoga anapondwa mtu akifumua vipachupachu anapondwa acheni uthenge,tumewachokaaa...mwengine usikute mama yake aliolewa km mke wa tatu alafu anaponda ma lov ya watu
 
Wivu wa kike huo utadhani wa Dimpozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…