Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.
Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.
Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.
Kajiandae tuje tucheze kokoro.
Vijana wa Diamond mmechanganyikiwa aisee.
ndio hapo anajua kila mahusiano ni ndoa tukwani unadhani ana ndoto ya kuolewa?
wengine tunataka pumbu tu basindio hapo anajua kila mahusiano ni ndoa tu
ha ha ha hawajui hilowengine tunataka pumbu tu basi
wamuache binti wa watuha ha ha hawajui hilo
ila mm naipenda sana couple yao na ninahisi watafika sana mbaliwamuache binti wa watu
wanapendeza kwa kweli ... wakifika ni jambo la kheriila mm naipenda sana couple yao na ninahisi watafika sana mbali