Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba

Jokate hatoweza kulea mzigo wa watoto 3 wa Alikiba

Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.

Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.

Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.

Kajiandae tuje tucheze kokoro.
Hii itakuwa idara ya figisu figisu kutoka madale maana mpo wengi halafu wengine hawana cha maana wanachofanya(chawa)
 
Tuachen wa mambo yasiotuhusu. Mapenzi ya watu wawil wewe inakuhusu nn baki na wako kama wengine wavyobaki na wao
 
Kua mwanaume ni zaidi ya kuning'iniza hii biology na kengele zake katikati ya miguu ila ni matendo na tabia zinatoa tafsiri zaidi,watoto wa kiume wanaiga tabia za dada zao kwa kasi ipo haja kujitazama upya kwenye aina ya malezi tunayowapa watoto wetu maana kesho wavulana kusengenyana.
 
Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni mkubwa.

Namshauri kidoti aachane na kiba na atafute mwanaume alietulia mwenye maisha yake na ambaye hana watoto kijiji. Mana hao mama za hao watoto watakusumbua.

Diamond alitaka kukuoa, hukakataa kumzalia sababu eti utaharibu ujana wako, ukapewa mimba2 ukatoa. mama unakuwa mzee, tafuta wa kutulia nae. kina callista hawatakufikisha popote. Mwisho wa siku ukizembea utakuwa kama wemasepetu.

Kajiandae tuje tucheze kokoro.
Sawa msemaji wa familia ya Jokate
 
Timu mondi naona mmeanza kuchanganyikiwa mpaka mnapanga skendo hewa?
 
mtoa mada anaona wivu jojo anavyoukalia anataka aukalie yeye
 
Kama alieandika hii thread ni mwanaume basi ni mashaka matupu kwakweli
Zari ana watoto 3 mbona Diamond wala hajali kitu
 
Back
Top Bottom