Kwa wanawake warefu nakubaliana na wewe 100% wengi wapo hivoWewe piga proportional tu apewe kitu saiz ya urefu wake utaelewa watu wanazungumza nini.mfano demu akuwa mreefu unadhani arakywa na k fupi?
Yaani k inaishi kitovuni kwake mazee sasa kama we kibamia utapotea na mambupu yako!
Hasheem anarudi NBA na Jokate ni mjasiri na mali, KIBA akili ku mkichwaJokate bana alikuwa msiri na mambo yake ss sijui kimemkumba nn sasa hivi..yani ni zaidi ya wema asee
mkuu na ww huja elewa kumbe,[emoji3] [emoji3] mkuu si kasema hasherm ndo alikuwa first love wake ndo aliezindua mradi si wanasemaga wakwanza huwa hasauliki?
Huyu mwanamke alinikera toka siku alipomtosa mshikaji wangu wakati anasoma UDSM, Jamaa alikua kampenda kwa dhati kabisa akamwambia tena kwa manjonjo " You know (jina la mshkaji) am a super star, hata nikikukubali hutoweza kunitoa out, mana out zangu ni Kenya, South africa na Europe, sasa wewe unategemea boom na unajua tukitoka mapaparazi watatufuatilia" dah hili jibu lilikua kiboko.
Na domo ashawahi kumwita makombo so dogo nae karusha jiwe[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Hii ni dharau ya kiwango cha juu sana, haijawahitokea ulimwengu huu.
Watakuwa wanaogeleani lazima aseme hivyo kwani kwa urefu ule ni lazima Thabiti atakuwa na ndunga kama mkono wa mtoto,hao wanaofuatia lazima watakuwa wanamgusa gusa tu
Yaani mwanao aliambiwa ukweli wewe roho ikakuuma....hama kweli wabongo tunapenda kuambiwa uongo.Huyu mwanamke alinikera toka siku alipomtosa mshikaji wangu wakati anasoma UDSM, Jamaa alikua kampenda kwa dhati kabisa akamwambia tena kwa manjonjo " You know (jina la mshkaji) am a super star, hata nikikukubali hutoweza kunitoa out, mana out zangu ni Kenya, South africa na Europe, sasa wewe unategemea boom na unajua tukitoka mapaparazi watatufuatilia" dah hili jibu lilikua kiboko.
Mkuu punguza jazba amesema first real love na sio first lover.Sio first lover wake,na jamaa mrefu yulee
mkuu umeniua[emoji3] [emoji3]Kiba akisikia anajisikiaje? ila hawa kwa movie huchelewi kumsikia akisema Zari ndie namfeel zaidi na ndio maana nimeamua kumpa mimba aliyonayo sasa hivi... na Mwache Mondi anichukie tu maana nilichomfanyia kimempata... Maana ukisikia paa ujue