Jokate: Kuachana na Hasheem Thabeet kilikuwa ni kitu kibaya zaidi kutokea kwangu

A little too late...majuto mjukuu🙁🙁🙁🙁🙁
 
Sasa huyo alikiba akisikia hivi anajisikiaje?

anyway non of my business
 
Heeee millard ayo kapigwa chini tayari...kwel hawa masupu wa staa ni habr nyingine
 
Huyu mwanamke alinikera toka siku alipomtosa mshikaji wangu wakati anasoma UDSM, Jamaa alikua kampenda kwa dhati kabisa akamwambia tena kwa manjonjo " You know (jina la mshkaji) am a super star, hata nikikukubali hutoweza kunitoa out, mana out zangu ni Kenya, South africa na Europe, sasa wewe unategemea boom na unajua tukitoka mapaparazi watatufuatilia" dah hili jibu lilikua kiboko.
 
Tall alisoma UDSM mwaka gani na ni mazingira gani yaliwakutanisha wakafahamiana?
 
Huyu mwanamke alinikera toka siku alipomtosa mshikaji wangu wakati anasoma UDSM, Jamaa alikua kampenda kwa dhati kabisa akamwambia tena kwa manjonjo " You know (jina la mshkaji) am a super star, hata nikikukubali hutoweza kunitoa out, mana out zangu ni Kenya, South africa na Europe, sasa wewe unategemea boom na unajua tukitoka mapaparazi watatufuatilia" dah hili jibu lilikua kiboko.
Ila alimsaidia kumwambia ukweli kuliko angemkubalia alafu awe anamsaditi na mastaa wa bongo
 
Back
Top Bottom