warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mwanamitindo maarufu bongo, Jokate mwegelo ameanza kufuata Nyayo za mastaa wa mbele kama akina Rihhana, Beyonce na Kim baada ya ivi karibuni kupata shavu nono kwenye kampuni ya Mohamed enterprise Tanzania limited (METL).
Sura ya mrembo huyo msomi na asiyechuja inatarajiwa kuonekana kwenye sabuni ya kuogea (pichani) inayotengenezwa na kampuni hiyo.
Huu unaweza kuwa mwanzo mzuri kwa staa huyo kuweza kujitangaza kimataifa zaidi kupitia kampuni hiyo inayoaminika kimataifa.
Ni wakati wa wasanii wetu kuanza kujitambua na kuilewa thamani yao hili makampuni mengi zaidi yaweze kujitokeza na kuweza kuwatumia kwenye kampuni yao sio tu kwa ajili ya kuwapatia kipato wasanii hao, Bali pia itawawezesha kuwatangaza kimataifa zaidi na kuweza kufanya kazi na makapuni makubwa.
Ni wakati wa wasanii kuanza kujitambua ili makampuni makubwa waweze kuwatumia kwenye products zao mbali mbali , maana sidhani kama makampuni yatamchukua msanii ambaye ana scandal chafu na wala hajiheshimu.
WRITTEN AND PREPARED BY warumi.