Jokate kufuata nyayo za Beyonce

Jokate kufuata nyayo za Beyonce

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanamitindo maarufu bongo, Jokate mwegelo ameanza kufuata Nyayo za mastaa wa mbele kama akina Rihhana, Beyonce na Kim baada ya ivi karibuni kupata shavu nono kwenye kampuni ya Mohamed enterprise Tanzania limited (METL).

Sura ya mrembo huyo msomi na asiyechuja inatarajiwa kuonekana kwenye sabuni ya kuogea (pichani) inayotengenezwa na kampuni hiyo.

Huu unaweza kuwa mwanzo mzuri kwa staa huyo kuweza kujitangaza kimataifa zaidi kupitia kampuni hiyo inayoaminika kimataifa.

Ni wakati wa wasanii wetu kuanza kujitambua na kuilewa thamani yao hili makampuni mengi zaidi yaweze kujitokeza na kuweza kuwatumia kwenye kampuni yao sio tu kwa ajili ya kuwapatia kipato wasanii hao, Bali pia itawawezesha kuwatangaza kimataifa zaidi na kuweza kufanya kazi na makapuni makubwa.

Ni wakati wa wasanii kuanza kujitambua ili makampuni makubwa waweze kuwatumia kwenye products zao mbali mbali , maana sidhani kama makampuni yatamchukua msanii ambaye ana scandal chafu na wala hajiheshimu.

WRITTEN AND PREPARED BY warumi.


attachment.php
 
Sabuni mpya ya MO
 

Attachments

  • 1398494116005.jpg
    1398494116005.jpg
    33 KB · Views: 1,698
Jokate lazima afike mbal...ila huyo mama diamond domo hana lolote anaishi kwa scandal..
 
safi sana hii ndio njia halali ya kujipatia kipato, siyo wengine wanaojitangazia umillionea wakati hata vyanzo vyao vya kipato ni kitendawili.
 
wale wa puri wanaweza kuitumia kwa mahotajia yao hapo...
 
Sasa mbona Picha yenyewe haijaonekana Yote !

Naona passport tu !

:msela:
 
Hv huyu mama domo si ajifunze kwa mwezie,ye anapenda kumegwa tu
 
Haha analipwa hela nyingi ! Si apige picha full ! Hahaa

:msela:

Sidhan kama ina maana sana kuweka mwili mzima, nadhan uso unatosha kwa kutangaza sabuni , angekuwa anafanya fashion show ndo ingekuwa poa kuonyesha mwili mzima labda kama una maana nyingine
 
Sidhan kama ina maana sana kuweka mwili mzima, nadhan uso unatosha kwa kutangaza sabuni , angekuwa anafanya fashion show ndo ingekuwa poa kuonyesha mwili mzima labda kama una maana nyingine


Rumi ukiiangalia vizuri ile picha utagundua kuwa alikuwa Naked !

Sasa Wangepiga angalau ! Mpaka maeneo flani hivi ! Afu wakatuwekea !

Ingeongeza wateja ! Hasa akina males !

:msela:
 
Rumi ukiiangalia vizuri ile picha utagundua kuwa alikuwa Naked !

Sasa Wangepiga angalau ! Mpaka maeneo flani hivi ! Afu wakatuwekea !

Ingeongeza wateja ! Hasa akina males !

:msela:

Hyo sasa ingeitwa KJ jelly badala ya KY , maana tungetumia kama lublicant , au jaman c wangetengeneza lotion tu jaman
 
Wamuwekee na kwenye pipii ili pipi ziongezekee utamuu
 
Back
Top Bottom