Nicknametz9
New Member
- Jun 17, 2016
- 1
- 0
[emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Mrembo Jokate akifanya mazungumzo na channel moja maarufu huko youtube amedai mwezi ujao atasafiri kwenda Seoul ,South Korea kufanya marekibisho kidogo ya sura yake yaani kuongeza kidoti B.
Jokate alidai sura yake ni kama mizani yaani kila kitu kilicho upande wa kushoto lazima kiwe na mwenzake upande wa kulia,so does kidoti,Jokate amesema kidoti hicho kitakuwa upande wa kulia ambapo amesema kitakuwa na radius ya nusu inchi (na diameter ya 1 in) wakati huo huo kidoti hicho kitakuwa na surface area ya 0.785 sq in wakati circumference itabaki kuwa 3.14 in.
Jokate alidai asilimia 50 ya gharama hizo atatumia fedha za ndani (zake) wakati asilimia 50 atatumia fedha za wafadhili (kiba).Jokate anategemea kundoka nchini trh 10 na kurudi trh 18.
Kila la kheri dada Jokate
Tokea amevuliwa pichu na Diamond amekuwa fyatu kabisaHuyu mwanamke kuna kipindi aliheshimika sana ila ghafla akapoteza heshima. Sijui kwa nini?
Pesa nzuri nyie![]()
Mrembo Jokate akifanya mazungumzo na channel moja maarufu huko youtube amedai mwezi ujao atasafiri kwenda Seoul ,South Korea kufanya marekibisho kidogo ya sura yake yaani kuongeza kidoti B.
Jokate alidai sura yake ni kama mizani yaani kila kitu kilicho upande wa kushoto lazima kiwe na mwenzake upande wa kulia,so does kidoti,Jokate amesema kidoti hicho kitakuwa upande wa kulia ambapo amesema kitakuwa na radius ya nusu inchi (na diameter ya 1 in) wakati huo huo kidoti hicho kitakuwa na surface area ya 0.785 sq in wakati circumference itabaki kuwa 3.14 in.
Jokate alidai asilimia 50 ya gharama hizo atatumia fedha za ndani (zake) wakati asilimia 50 atatumia fedha za wafadhili (kiba).Jokate anategemea kundoka nchini trh 10 na kurudi trh 18.
Kila la kheri dada Jokate
HATA MM NIMESHANGAA KWA KWELICircumference =pie?? Formula ya wapi hiii mkuuu...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]HATA MM NIMESHANGAA KWA KWELI
Ili iweje,na umesoma tarehe na Mwaka wa huu Uzi?Ningetamani hiyo gharama angeitumia kununua madawati ya shule.
Hakwenda ndo maana mpaka sasa anacho kimoja😅😂Wahuni naulizaje, kiongozi alienda au hakwenda
Diameter ya 1n kisingekuwa kidoti bali doa maana lingekuwa ni duara lenye upana wa kama hii sh.100.Hakwenda ndo maana mpaka sasa anacho kimoja[emoji28][emoji23]