Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

Mtu anapongezwa kwa kufanya kazi zake??

Postman akifikisha barua au mzigo mahali husika tunahitaji kumpongeza?
Kwa africa lazima tumpongeze..maana angeamua angetumia muda wake mwing kunitengenezea maisha yake binafsi..na usingemfanya chochote...ila angalau kafanya hamasa na jambo fulan.mbona wengne hawafany
 
Mtu anapongezwa kwa kufanya kazi zake??

Postman akifikisha barua au mzigo mahali husika tunahitaji kumpongeza?
Jifunze kupongeza sio kila siku kulaumu. Wewe umekulia familia gani? Umepata malezi gani hadi ushindwe kuona mazuri ya mwenzio? Angeamua angekuwa Kama Sabaya au Ali Hapi.
 
Kuna kitu unakosea kidogo, hivi hakuwa na DED Wala RAS? Hivi hao hawakufanya lolote?

Je serikali kuu na halmashauri haijachangia?
 
Hongera zake...

Ila huko nawakubali kwa ngoma maana kuna wakati watu muda wote wako ngomani

Ova
hiyo ni tamaduni yao. hata kwenu bara unakotoka kuna kitu mnapenda, labda pombe, ngono etc
 
Hii sawa na kumsifu mama Amina kwa kumhudumia Amina. Jukumu la Jokate kufanya kazi yake



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Nyie waimba mapambio mtamponza bure huyu binti atumbuliwe!!! Watu wataanza kuchunguza hicho kishule kimejengwa kwa mabilioni mangapi ; halafu itakuwa shidaaa!!! Muacheni kama anafanya kazi vizuri ataonekana na kama ilikuwa kwasababu ya Jiwe ndio alipendelewa basi hilo pia litaonekana katika utendaji wake!!!
 
Anaweza asiwepo kwenye pdf mpya huyu, Uwezekano ni mkubwa mnoo
 
ila kwa wale ma DC ambao mnapenda kubaki kwenye u DC njia pekee ni kuchapa kazi kwa kutatua kero za wananchi na pia kubuni jinsi ya kuwaletea maendeleo wananchi wenu, hiyo ndio njia pekee itakayo kufanya uendelee na u DC.
 
Ule mji unakuwa taratibu mno
Mji wa Kisarawe unakuwa taratibu kwa sababu ya kuzungukwa na hifadhi za msitu na kambi za jeshi hivyo kuzuia ujenzi wa makazi. Ingekuwa vyema makao ya halmashauri yangesogezwa mbele Kama vile Masaki ambapo ndio karibu kufikika na vijiji vyengine na bado kuna maeneo mengi yanayoruhusu ujenzi was makazi na ofisi.

By the way Mh. Dc anafanya kazi mzuri. Anastahili pongezi
 
Aliyekuwa DC wa Hai amesimamishwa kazi kwa tuhuma mbali mbali wilayani pale. Mimi najiuliza je inawezekanaje kuwa mabaya yote ya Sabaya aliyafanya peke yake bila ushirikiano na DED na DAS wake na maafisa wengine? Kuna malalamiko ya wananchi wengi kuhusu mambo ya Ardhi pale Hai, je Sabaya angewezaje kufanya hayo yaliyofanywa bila afisa wake wa Ardhi?

Ummy Mwalimu na TAMISEMI ni lazima msafishe ile syndicate yote pale wilaya ya HAI ama sivyo hamtakuwa mnamsaidia Rais kufikia malengo yake!
 
Jifunze kupongeza sio kila siku kulaumu. Wewe umekulia familia gani? Umepata malezi gani hadi ushindwe kuona mazuri ya mwenzio? Angeamua angekuwa Kama Sabaya au Ali Hapi.
Nimekuuliza swali Postman akifikisha barua mahali pake anahitaji pongezi?

Kwa jinsi hii tuna safari ndefu sana! Last year nilikua Norway kwenye project yao ya daraja kwenye ziwa Mjøsa ! Ajabu sikuona mapambio hasa ukizingatia teknolojia na uzuri wa lile daraja utakavyokua! Sababu ni nini?

Hakuna haja ya kupongeza kazi ambazo mtu anafanya na ziko kwenye maandishi kuwa ni majukumu yake...

Hakuna sababu ya kupongeza kazi zinazofanywa na kodi zako ! Kwani serikali iliishandaa siku ya kuwapongeza wananchi kwa kulipa kodi? Jibu ni kuwa siku hiyo haipo sababu kulipa kodi ni wajibu na hauhitaji pongezi na kwa namna hiyo pia hakuna haja ya kuipongeza serikali/kiongozi kwa kutimiza majukumu yake
 
Sijui Mkuu wa Wilaya ya Chato tutasemaje maana yeye kapeleka mpaka uwanja wa ndege.
Itabidi ahamishiwe Chato kwa uangalizi zaidi wa ile futi sita na kujenga kibanda kizuri ili amuenzi kwa ukaribu.
 
Nimekuuliza swali Postman akifikisha barua mahali pake anahitaji pongezi?

Kwa jinsi hii tuna safari ndefu sana! Last year nilikua Norway kwenye project yao ya daraja kwenye ziwa Mjøsa ! Ajabu sikuona mapambio hasa ukizingatia teknolojia na uzuri wa lile daraja utakavyokua! Sababu ni nini?

Hakuna haja ya kupongeza kazi ambazo mtu anafanya na ziko kwenye maandishi kuwa ni majukumu yake...

Hakuna sababu ya kupongeza kazi zinazofanywa na kodi zako ! Kwani serikali iliishaanda siku ya kuwapongeza wananchi kwa kulipa kodi? Jibu ni kuwa siku hiyo haipo sababu kulipa kodi ni wajibu na hauhitaji pongezi na kwa namna hiyo pia hakuna haja ya kuipongeza serikali/kiongozi kwa kutimiza majukumu yake
Although unachosema ni kweli sababu anachofanya kama DC ni kazi aliyopewa kuifanya nothing much lakini pongezi pia hutolewa kama motisha ya kazi kuwasukuma wengine waige mfano ndio maana hata Mei Mosi anapotajwa mfanyakazi bora hupewa zawadi kama motisha na sio kama zawadi ya kufanya kazi.
 
Vp kuhusu mkuu wa wilaya ya chato naye utasemaje amefanya haya

Ameleta mbuga ya wanyama

Uwanja wa ndege wa kimataifa

Hospital ya rufaa

Taa za barabaran

Huduma za benk Kama crdb

Jengo la kisasa la mapato

Shule mbili za advance

Boti nne za uvuvi

Hotel tatu za nyota nne

Barabara z lami mitaani

Vituo vya afya kila kata

Madawati shule zote

Sasa anataka uwe mkoa


Haya Sasa huyo jokate anaweza kufananishwa na mkuu wa wilaya ya chato mkuu kwa haya kwann asichaguliwe kuwa RC Kama ameweza haya akiwa mkuu wa wilaya Tena kwa bajet ndogo kabisa
 
Anaweza asiwepo kwenye pdf mpya huyu, Uwezekano ni mkubwa mnoo
Sio rahisi. Mama anabadilisha watu vituo. Bila shaka atapelekwa Ilala kama sio Dodoma mjini.

Tuache majungu wakuu. Kama mtu anachapa kazi tumpe pongezi zake.
 
Una mponza kwa promo zako.atapigwa chini shauri yako.mji umelaaniwa huo umeanza 1907 hauna hata cha maana.chato imeanza juzi tu inaenda kuwa mkoa
 
Back
Top Bottom