Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

Aongezewe ulinzi
 
Mtu anapongezwa kwa kufanya kazi zake?

Postman akifikisha barua au mzigo mahali husika tunahitaji kumpongeza?
Ndio kwasababu kuna postman mwingine hafikishi huo mzigo anapeleka anapopajua yeye.
 
Basi nikawa naisikia Kisarawe Kisarawe, nikasema ngoja niende. Aisee, bado sana aisee.
 
Tukimaliza mchakato wa mkoa wa Chato tuanzishe wa mkoa wa Kisarawe au nasema uongo ndugu zangu ?
 
apelekewe DAS ambaye hajaoa, maisha ndio haya haya na yeye afaidi.
hivi ana umri gani? maana umri wa kuzaa mwanamke ni miaka 14-40 zaidi ya hapo mimba hazinasi.
 
Ndiyo, kwa sababu pongezi ni kwa ajili ya wanaotimiza wajibu.
Sidhani kama kwenye job description ya Jokate kunaelezea masuala ya pongezi..

Na Je akina Mwalimu walifanya mangapi mazuri bila kualika Mikamera eneo la tukio??
 
Lisu alikaa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichoacha.
 
Sidhani kama kwenye job description ya Jokate kunaelezea masuala ya pongezi..

Na Je akina Mwalimu walifanya mangapi mazuri bila kualika Mikamera eneo la tukio??
Pongezi inakuumiza sana kichwa.
 
Kisarawe kama Wilaya imetulia.ila ki uchumi bado haija fika popote.uzawa ndiyo unaiharibu kisarawe.Ukiona wachaga wameshindwa kufanya biashara ujue hapo kuendelea ni ndoto. Kisarawe na Kondoa zinafanana hiv
 
Kwa hiyo! Ateuliwe tena au unasemaje?
 
Pongezi inakuumiza sana kichwa.
Haijaniumiza kichwa nimetoa maoni yangu na nitayasimamia..

Hakuna haja ya kupongezwa kwa kutimiza majukumu yako sababu umefanya majukumu ukaita makamera..

Alishindwa nini kutimiza kimya kimya??
 
Kwani huyu ni mke wa nani maana kuna mtumishi aliondolewa kwakuwa anaukaribu naye
 
Sijui amekutuma umpromote😳😳 ,halafu unasema amekuta watu wa pwani wavivu,maneno haya akisema yeye au wewe?
Kama ni wewe Kuna siku ulisika pwani Wana shida ya chakula au walikuja omba msaada wa chakula kwako?
Acha dharau ndugu,bila ya watu wa pwani hata Uhuru tz usingepatikana.
Nyerere mwenyewe alikua anawaheshimu Sana watu wa pwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…