Jokate Mwegelo ameipaisha Kisarawe, ni zaidi ya Mkuu wa Wilaya

Hana ajualo uyo
 
Mmeufanya ukuu wa wilaya mwepesi sana mpaka Sasa mnafanya bongo movies,Kisarawe na mikoa mingine isiyo na changamoto inamtosha,mkimpa waliya za mjini mtahisi anaonewa tu wakati wa final conclusion
 
Anafanya kazi kwa bidii sana Jokate, Mungu amuinue zaidi ya hapo....kila laheri JoJo.
 
Gondwe angepelekwa kule kwenye Mfupa mtupu Kisarawe, angekuwa kashajiuzulu. Jenga Picha Jokate angepata Wilaya ya Watu wapambanaji Kama Kinondoni. Rais muda huu angekuwa kashampa ukuu wa Mkoa. Kisarawe haina hela ila Kapmbana. Hadi kuanzisha Mifuko ya Maendeleo
 
Anatoa pesa zake?mbunge naye atajisifia haya haya, sasa tumshukuru nani mkuu ww Wilaya, mkuu wa mkoa au mbunge?
Kwa vile uteuzi una karibia 50/50 atapata tu, hakuna haja ya kupiga debe.
misifa ya kujitakia waambie hao
Sabaya alizonyang'anya kule Hai aliwekeza hapo km hazikusaidia basi hata kutoa ushahidi akasaidie
 
Bado mna nguvu tu na jokate wako licha ya hili la tuhuma ya kua muweka hazina wa sabaya?
 
Wamuache bana hata kama ni kitu maalum cha mwenda zake , anajitahidi kwa kiasi chake sio kama wengine hawasikiki kabisaaaaa, kiukweli Jojo pisi kali na hana makuu, kwanza amekua utotoutoto umepotea sikuhizi mitano tena kwa Kidotiakeee
 
Wamuache bana hata kama ni kitu maalum cha mwenda zake , anajitahidi kwa kiasi chake sio kama wengine hawasikiki kabisaaaaa, kiukweli Jojo pisi kali na hana makuu, kwanza amekua utotoutoto umepotea sikuhizi mitano tena kwa Kidotiakeee


Kwa hiyo wewe kipimo chako cha utendaji ni kusikika?
Kuonekana kwenye macamera, social media ndicho kipimo chako kuwa kazi inafanyika?

Kuwa na makuu au kutokuwa na makuu unatumia kipimo gani kujua huyo hana na yule anayo?
 
Mumeanza kuteteana kutafuta huruma au siyo..kwanza wewe sio msemaji wa wanakisarawe hawajakutuma kuwasemea.
 
Kuna wilaya za vijijini na za mjini.. Hebu wamlete hapa Dar es Salaam, tuone ubunifu wake na uwezo wake na hasa sasa hivi akiwa hana kivuli chochote nyuma yake.
 
Pia ametajwa kushiriki kutunza hela za ujambazi alizokuwa anapora Sabaya
 
Pamoja na mambo mema aliyofanya Jokate, kuna watu wanajaribu kumchafua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…