Jokate Mwegelo anatukosea sana kwa kuchagiza mimba mashuleni, adhibitiwe haraka!

Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.

Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua umemfanyisha mwanangu mtihani na mama anaenyonyesha kwa kweli nitakushtaki kwa msongo wa mawazo utakaokuwa umemsababishia kwa kumfanya ashuhudie kile kitendo, maana anaweza hata akafeli mtihani wenyewe.

Pili hii italeta amsha ya wivu kwa wale wengine ambao hawana watoto, na wataanza kuzitafuta hizo mimba kwa nguvu, wivu ni asili ya binadamu, hakuna anaekubali kupigwa gap kizembe, hivyo wajinga wajinga wengine wataanza kushindana kuzaa na kunyonyesha madarasani ili kujua nani zaidi.

Kama kulikuwa na haja ya wao kufanya mtihani, basi wangetengewa wodi yao ya wazazi wakafanyishwe mtihani kwa siri ili wenzao wasione.., mnaharibu elimu jamani, tunieni busara.

Hizi cheap politics anaziweza Makonda tu, nyie wengine tulieni, mnajidhalilisha

==========================

View attachment 2818619

View: https://www.instagram.com/reel/Czx3n82COZc/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Nani kakupa mamlaka ya kunisemea mimi?'anatukosea 'wewe na nani?,siku itakayokuja kuzaa ndio utaelewa kuwa Mh.Jokate kwa hili yupo sahihi kabisa
 
Ndio itakuwa vizuri. Ila wazazi wawekewe mfumo wao wa elimu ili kutowaathiri kiasikolojia wanafunzi na kubabisha kuporomoka kwa viwango vya ufaulu. Pia wakichanganywa itafanya wanafunzi wasiogope kubeba ujauzito shuleni
Niko tofauti kidogo na wewe, unajua kulea mtoto mdogo si kazi rahisi,

Kwa mtazamo wangu nadhani watakachojifunza ni zile taabu anazopitia huyu mtoto mwenye mtoto hii itawafanya nao wasifanye ujinga.
 
Rudi kitandani uendelee kulala, nashangaa nchi hii kuna watu wana roho mbaya mno, mtoto wa kike why aadhibiwe mara mbili wakati wewe uliyemtia mimba unaendelea na masomo?,Mh.Johari ur doing a good job ,ningekua na uwezo ningekusaidia to make sure watoto hawa wa kike wanaishi ndoto zao
Anayempa mimba anafungwa miaka 30 jela, sheria ipo wazi, labda binti aamue kumlinda
 
Rudi kitandani uendelee kulala, nashangaa nchi hii kuna watu wana roho mbaya mno, mtoto wa kike why aadhibiwe mara mbili wakati wewe uliyemtia mimba unaendelea na masomo?,Mh.Johari ur doing a good job ,ningekua na uwezo ningekusaidia to make sure watoto hawa wa kike wanaishi ndoto zao
Miaka 30 jela niendelee na shule kwa namna gani?! Halafu huwa wanabakwa wote au ?
 
Nimeona video clip ikimuonyesha mwenyekiti wa UWT Jokate Mwegelo akiwapongeza wasichana waliofanya mtihani wa kidato cha 4 huku wakiwa wananyonyesha watoto wachanga wa siku 3 hadi 8.

Frankly speaking mimi binafsi naanza kuona hii nchi sasa tunaongozwa na mataahira, infact nikaja kugundua umemfanyisha mwanangu mtihani na mama anaenyonyesha kwa kweli nitakushtaki kwa msongo wa mawazo utakaokuwa umemsababishia kwa kumfanya ashuhudie kile kitendo, maana anaweza hata akafeli mtihani wenyewe.

Pili hii italeta amsha ya wivu kwa wale wengine ambao hawana watoto, na wataanza kuzitafuta hizo mimba kwa nguvu, wivu ni asili ya binadamu, hakuna anaekubali kupigwa gap kizembe, hivyo wajinga wajinga wengine wataanza kushindana kuzaa na kunyonyesha madarasani ili kujua nani zaidi.

Kama kulikuwa na haja ya wao kufanya mtihani, basi wangetengewa wodi yao ya wazazi wakafanyishwe mtihani kwa siri ili wenzao wasione.., mnaharibu elimu jamani, tunieni busara.

Hizi cheap politics anaziweza Makonda tu, nyie wengine tulieni, mnajidhalilisha

==========================

View attachment 2818619

View: https://www.instagram.com/reel/Czx3n82COZc/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

Huyo Muhuni tu,yeye mwenyewe kazalishwa Mtoto na Baba wa mtoto ni Siri yake!
 
Niko tofauti kidogo na wewe, unajua kulea mtoto mdogo si kazi rahisi,

Kwa mtazamo wangu nadhani watakachojifunza ni zile taabu anazopitia huyu mtoto mwenye mtoto hii itawafanya nao wasifanye ujinga.
Huwezi kuvuruga mfumo mzima wa elimu kwa nyege za mpumbavu mmoja, elimu inahitaji utulivu waakili na kimazingira ya darasa, watoto wachanga kupiga makelele ndani ya eneo la shule ni kuwaadhibu wengine waliochagua kuzishinda nyege!!

66406A3C-DC87-4AAC-B0A2-BD7CBB07B6E3.jpeg
 
Miaka 30 jela niendelee na shule kwa namna gani?! Halafu huwa wanabakwa wote au ?
Mkuu tuongee ukweli hapa,conviction rate ya hizi kesi ni less than 4%,ndio maana hii 30yrs haiwafanyi wanaume wa think twice kabla ya ku sex na wanafunzi, ila mtoto wa kike naye apewe nafasi ya ku achieve kimaisha, hii nimeweka kwenye bucket list yangu, nitasaidia mradi huu wa mh.Jokate
 
Ndugu, unasemaje??!! Mimi hata kuwasalimia naogopa!
 
Back
Top Bottom