Jokate Mwegelo anatukosea sana kwa kuchagiza mimba mashuleni, adhibitiwe haraka!

Nani kakupa mamlaka ya kunisemea mimi?'anatukosea 'wewe na nani?,siku itakayokuja kuzaa ndio utaelewa kuwa Mh.Jokate kwa hili yupo sahihi kabisa
 
Ndio itakuwa vizuri. Ila wazazi wawekewe mfumo wao wa elimu ili kutowaathiri kiasikolojia wanafunzi na kubabisha kuporomoka kwa viwango vya ufaulu. Pia wakichanganywa itafanya wanafunzi wasiogope kubeba ujauzito shuleni
Niko tofauti kidogo na wewe, unajua kulea mtoto mdogo si kazi rahisi,

Kwa mtazamo wangu nadhani watakachojifunza ni zile taabu anazopitia huyu mtoto mwenye mtoto hii itawafanya nao wasifanye ujinga.
 
Anayempa mimba anafungwa miaka 30 jela, sheria ipo wazi, labda binti aamue kumlinda
 
Miaka 30 jela niendelee na shule kwa namna gani?! Halafu huwa wanabakwa wote au ?
 
Huyo Muhuni tu,yeye mwenyewe kazalishwa Mtoto na Baba wa mtoto ni Siri yake!
 
Niko tofauti kidogo na wewe, unajua kulea mtoto mdogo si kazi rahisi,

Kwa mtazamo wangu nadhani watakachojifunza ni zile taabu anazopitia huyu mtoto mwenye mtoto hii itawafanya nao wasifanye ujinga.
Huwezi kuvuruga mfumo mzima wa elimu kwa nyege za mpumbavu mmoja, elimu inahitaji utulivu waakili na kimazingira ya darasa, watoto wachanga kupiga makelele ndani ya eneo la shule ni kuwaadhibu wengine waliochagua kuzishinda nyege!!

 
Miaka 30 jela niendelee na shule kwa namna gani?! Halafu huwa wanabakwa wote au ?
Mkuu tuongee ukweli hapa,conviction rate ya hizi kesi ni less than 4%,ndio maana hii 30yrs haiwafanyi wanaume wa think twice kabla ya ku sex na wanafunzi, ila mtoto wa kike naye apewe nafasi ya ku achieve kimaisha, hii nimeweka kwenye bucket list yangu, nitasaidia mradi huu wa mh.Jokate
 
Ndugu, unasemaje??!! Mimi hata kuwasalimia naogopa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…