Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

Habari wakuu

Kwa Maoni yangu Mimi Kama mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe Bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani,au eneo Jingine has a remote areas.

Kwa sababu moja Kuu,Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha kisarawe.

Kwa muda wote aliokaaa kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza kisarawe na kuinua kiwango cha elimu,has a katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana

Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate

Shaloom!
Mpandishe wewe kama unaona wamekosea
 
Wewe vipi? Mimi siwezi kuonyesha, sijaanzisha huu uzi, sipajui kisarawe, sijawahi kusoma taarifa ya kuonyesha tofauti ya ilivyo kuwa kisarawe kabla ya jokate kufika na sasa wakati anaondoka.
Unaweza tu hata wewe kuonyesha Mkuu,lakin wanaomfaham hawahitaji kuelezewa zaid
 
Yaah alikuwa' overated' tu, gender yake na promo' vilimsaidia pia kupata mileage lakini ni wa average tu....kula kuendelee.
Umesema ni mbunifu je alibuni drone au Jembe hata nazi ya kopo made in kisarawe?kwangu ni average tu kuhimiza wasichana wa pwani wasiolewe na umri mdogo waende shule na kampeni za ukimwi mtu yoyote anayejua kusoma na kuandiaka anaweza akafanya.
 
Habari wakuu

Kwa Maoni yangu Mimi Kama mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe Bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani,au eneo Jingine has a remote areas.

Kwa sababu moja Kuu,Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha kisarawe.

Kwa muda wote aliokaaa kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza kisarawe na kuinua kiwango cha elimu,has a katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana

Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate

Shaloom!
Ile ni Promotion kubwa kwake TMK ni sawa Mkoa mingi tu Lindi Mtwara Pwani etc...changamoto TMK nyingi na kubwa
 
Basi karibu kisarawe ujionee
Wewe vipi? Mimi siwezi kuonyesha, sijaanzisha huu uzi, sipajui kisarawe, sijawahi kusoma taarifa ya kuonyesha tofauti ya ilivyo kuwa kisarawe kabla ya jokate kufika na sasa wakati anaondoka.
 
Mbona wewe hujawahi kufanya
Umesema ni mbunifu, je alibuni drone au Jembe hata nazi ya kopo made in kisarawe?kwangu ni average tu kuhimiza wasichana wa pwani wasiolewe na umri mdogo waende shule na kampeni za ukimwi mtu yoyote anayejua kusoma na kuandika anaweza akafanya.
 
Habari wakuu,

Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.

Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha Kisarawe.

Kwa muda wote aliokaaa Kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza Kisarawe na kuinua kiwango cha elimu, hasa katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana.

Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate.

Shaloom!
Ubunifu aupeleke Temeke huyu alikuwa anabebwa tumempa hapo Temeke tumwone
 
Mbona mimi siteuliwi??? Nimejipendekeza weeee!! Nimepiga magwaride kibao. Mbele ya waheshimiwa hawa.

Mpaka napata maumivu ya mwili sasa!!!

Mama samia Rais wangu. najua unapitapita humu!! Nitumie hata kaujumbe in box nije.uniteue nikamate limkoa la Mara!!

Nitawaweza wale kabisaaa!! Nia uwezo, sababu ninazo usinitupe kapuni mama yangu wee!! njoo tu inbox.najua hutaniangusha nataka tufanye kazi. Vumilia!!
 
Umesema ni mbunifu, je alibuni drone au Jembe hata nazi ya kopo made in kisarawe?kwangu ni average tu kuhimiza wasichana wa pwani wasiolewe na umri mdogo waende shule na kampeni za ukimwi mtu yoyote anayejua kusoma na kuandika anaweza akafanya.
Lakini waliomtangulia hilo liliwashinda
 
Unalia uke wenza sasa?? Acha hizo!! Hapa kazi tu!!! Ulitaka upewe wewe??
 
Back
Top Bottom