Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
DC wa Wilaya ya Daresalaam, ni zaidi ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani.
Take Notes.
Take Notes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Orodhesha alivyofanya usiwe kama watu wa wizara ya utalii.Habari wakuu,
Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.
Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha Kisarawe.
Kwa muda wote aliokaaa Kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza Kisarawe na kuinua kiwango cha elimu, hasa katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana.
Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate.
Shaloom!
Hakuna kitu kafanya hapa kisarawe na vijiji vyake. Mataga acheni upambe wa wakishamba.Kaulize kule kisarawe
Ofisi ya Tamisemi irudishwe ofisi ya waziri mkuu wakurugenzi waajiriwe na Halmashauri zenyewe isipokuwa disciplinary authority iwe waziri mkuu.In fact vyeo vya wakuu wa wilaya vifutwe kabisa kwenye katiba abaki mkurugenzi na DAS tu
Asilimia kubwa ya watu waomsifia jokate hawajawahi kufika kisarawe huyu Dada katumia social media kuikuza kisarawe lakini ki uhalisia hamna kitu.Hakuna kitu kafanya hapa kisarawe na vijiji vyake. Mataga acheni upambe wa wakishamba.
Barabara zote kubwa za Kisarawe ni vumbi wakati wa jua na matope na mashimo wakati wa mvua. Kutoka Kisarawe mpaka TAZARA Mzenga, Kisarawe mpakaka Msanga. Na mlandizi mpaka Mwanarumango.Asilimia kubwa ya watu waomsifia jokate hawajawahi kufika kisarawe huyu Dada katumia social media kuikuza kisarawe lakini ki uhalisia hamna kitu.
Labda hizi sifa zipelekwe kwa Jafo maana walau hata kasaidia maji yamepatikana.
Niki wa pili akitaka kufanikiwa kisarawe apiganie ile njia ya kwenda nyerere national park ipigwe lami mpaka mwisho hiyo itaifanya watu kuwekeza kisarawe katika mahoteli na pia kuukuza mji kwa utalii.
Habari wakuu,
Kwa Maoni yangu Mimi Kama Mtanzania naona Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe bali aliatakiwa apandishwe cheo na kuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani au eneo Jingine has a remote areas.
Kwa sababu moja Kuu, Jokate ni Mbunifu sana na kwa nafasi take kwanza kama Mtu maarufu mwebye wafuasi wengi angetumia hiyo nafasi kupaisha Mkoa husika kama alivyoipaisha Kisarawe.
Kwa muda wote aliokaaa Kisarawe amefanya makubwa mno kuitangaza Kisarawe na kuinua kiwango cha elimu, hasa katika wilaya ambayo aakazi wake wengi hawakuwa wanaipa thamani Elimu lakin tumeona ameweza kufanya mabadiliko makubwa sana.
Hivyo naona katika Eneo ambalo Rais wetu amekosea ama ameshauriwa vibaya na wasaidizi wake ni katika uhamisho wa Jokate.
Shaloom!
AmaniHapo chini umemalizia Shaloom. Nini maana yake?
Safi MkuuTuliwahi kupendekeza hilo, mkeka umetick…. mama ni msikivu sana.
www.jamiiforums.com/index.php?threads/Ni-wakati-sasa-Jokate-Mwegelo-ahamishiwe-Dar-es-Salaam%2C-napendekeza-awe-DC-Kinondoni.1749617
Lugha ganiAmani

KiebraniaLugha gani
1. Ametokomeza zero Kisarawe