Jokate Mwegelo hakustahili kuhamishwa Kisarawe, aliatakiwa apandishwe cheo

Orodhesha alivyofanya usiwe kama watu wa wizara ya utalii.
 
In fact vyeo vya wakuu wa wilaya vifutwe kabisa kwenye katiba abaki mkurugenzi na DAS tu
Ofisi ya Tamisemi irudishwe ofisi ya waziri mkuu wakurugenzi waajiriwe na Halmashauri zenyewe isipokuwa disciplinary authority iwe waziri mkuu.
DAS wanakazi gani wilayani zaidi ya kuwa masecretary wa mkuu wa wilaya tu hiyo position iondolewe tu they have nothing to do.
 
Apandishwe cheo kwa kipi ?, Kazi nzuri aliyofanya ya kutunza pesa za ujambazi za Sabaya na kujigeuza BOT ya Sabaya , Sabayanga .
 

Hakuna kitu kafanya hapa kisarawe na vijiji vyake. Mataga acheni upambe wa wakishamba.
Asilimia kubwa ya watu waomsifia jokate hawajawahi kufika kisarawe huyu Dada katumia social media kuikuza kisarawe lakini ki uhalisia hamna kitu.

Labda hizi sifa zipelekwe kwa Jafo maana walau hata kasaidia maji yamepatikana.

Niki wa pili akitaka kufanikiwa kisarawe apiganie ile njia ya kwenda nyerere national park ipigwe lami mpaka mwisho hiyo itaifanya watu kuwekeza kisarawe katika mahoteli na pia kuukuza mji kwa utalii.
 
Barabara zote kubwa za Kisarawe ni vumbi wakati wa jua na matope na mashimo wakati wa mvua. Kutoka Kisarawe mpaka TAZARA Mzenga, Kisarawe mpakaka Msanga. Na mlandizi mpaka Mwanarumango.
wanapeana teuzi na kulipana kodi zetu , hakuna cha maana wanachofanya.

Tunataka katiba mpya ili tuachane na watawala walafi wa kodi zetu.
 

Tanzania tuna kazi na kizazi cha sasa wanafikiria bongo flava tu🤔 Mungu tusaidie. Kizazi hiki ni kazi kweli kweli
 
Aliwanyoosha wadau wa kukimbiza upepo na ile ushoroba marathon...na alikuwa keshajipanga kuirudisha tena mwakani🤸🐒🤣
 
Tumechoka kuwa na viongozi wenye sura za babu zao. Haka ka mlimbwende tuka elevate kawe waziri tuwe tunakiona ona kwenye tv kila siku
 
Kwani kikubwa alichofanye yeye ni kipi?

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
1. Ametokomeza zero Kisarawe

2. Ameboresha mazingira ya shule na elimu kiujumla. Nimeona kuna shule kajenga ya walemavu

3.Kaboresha shughuli za kitalii Kisarawe

4. Kagusa sekta ya kilimo na ufugaji Kisarawe.

5. Vijana wa mgambo

n.k n.k

Mtu akifanya vizuri tumpe pongezi mkuu. Tuache roho ya kwanini. Wanakisarawe tunamshukuru sana Mh.Jokate
 

Labda Mkuu wa Mkoa wa instagram na facebook , kama ma DC wote wangekuwa wajitangaza instagram kila wafanyayo basi hakuna hata mmoja ungeona hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…