Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.