Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Unategemea nini kwa viongozi ambao wanaweza kucheza kwa aibu hadharani kama huyu?

 
Huyu ni kiongozi mkubwa katika nchi hii, ni mume na baba watoto halafu utegemee uongozi wake ulete tija!! Tutasubiri sana!! Mtu sampuli hii hata huko bungeni macho ni jujuu tu kuelekea "ke"!!

 
Kwahiyo kale kapicha kadogo kalikozungushiwa ndio kuonyesha mtoto atakavyofanana au ni vipi,bado sijaelewa hapo...
 
Ukiona Manyoya.................Jua Kaliwa!!!!! tena bila Condom, kweupe pekupeku.

Najua Hasira ya mtoa Mada ni kwanini Kirauni cha Jamhuri ya Muungano kilivuliwa Suruali bila mkataba, hio ni jinai..........Afande!, Kamata hii habusu!!!!πŸ˜•
 
Atupishe kabisa.
 
 
Huyu DC ni mzinzi sana amekuwa akiwa na tabia za uzinzi, DC wa hivi akisimana mbele yangu naona kichefu chefu kabisa, haiwezekani niongozwe na kiongozi malaya.
 
Mamlaka ya uteuzi,tunauliza kuhusu utaratibu? Hakuna uvunjifu wa maadili ya utumishi wa umma?
Huyu DC amekosa mume wa kumuoa au wamefunga ndoa ya kimya kimya?

Kama hajavunja maadili ya utumishi wa umma, lakini zinaa ni mmomonyoko wa maadili kidini
Dc hafai tena huyu, akapumzishwe ili akazae vizuri na kuendelea na umalaya wake. Hatutaki viongozi wasiyo na maadili.
 
Sijui mijitu mingine ipoje,mlitaka atoe hiyo mimba au?acheni husda mwacheni azae.Mbona nyie maboss maofisini mnatia watu mimba pasipo mpangilio?au kwa vile hambebi ushahidi wakudinyana? maadili my foot...!Jojo kama unapita humu zaa tena akifikisha miez 4 beba ingine kwa raha zako.
 
Acha wivu kama ulichelewa imekula kwako. Kwani yeye hana haki ya kuzaa. Ishu ya ana mume au hana yule ni mtu mzima ulitaka azeeke bila mrithi.
 
Kwani mimba ndio inayoongoza au brain yake ndio inayoongoza watu
 
Hatutaki malaya kwenye ofisi za umma
 
Ifike kipindi tuache kuteseka na maisha ya wengine ili hali ya kwetu yanatushinda.
 
Utatuweza wabongo sasa, wengi ni watu wa hovyo mtu anataka uishi anavyotaka yeye sio unavyoweza wewe. Inashangaza sana.
 
Unajuaje Kama hana mume na hajafunga ndoa?
Kwani lazima amtangaze mumewe au ndoa yake iwe matangazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…