mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Acha povu!! Mtu akiwa kiongozi hawezi kukwepa kuongelewa!!A typic clown, mind your business. Utakuta huyu takataka hata hela kula hana, ila ana muda wa kumuongelea jokate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha povu!! Mtu akiwa kiongozi hawezi kukwepa kuongelewa!!A typic clown, mind your business. Utakuta huyu takataka hata hela kula hana, ila ana muda wa kumuongelea jokate
Unategemea nini kwa viongozi ambao wanaweza kucheza kwa aibu hadharani kama huyu?Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
Yupi huyo mnayedhani wa bi Kodi au mume wako wewe mkuu?Ana wanawake wanne. Maza anikimis sana
Atupishe kabisa.Miongozo ya UTUMISHI wa uma iko wazi kuwa na maadili sio mgomvi sio mzinzi sio mlevi etc. Jokate hana ndoa na hajasajili ndoa. So ni mzinzi akiwa ndani ya UTUMISHI wa uma na amekiuka kiapo cha maadili.
Kwa heshima tuu aondoke mwenyewe vinginevyo anaendelea kuchafua image. Ukiwa kiongozi wa uma huna maisha binafsi. Ukitaka kuzaa zaa hovyo kuzinizini basi usikubali uongozi wa uma mkubwa kama DC, RC.
Bahati mbaya ushahidi wa uzinzi unaonekana zaidi kwa mwanamke kuliko mwanaume. Amekamatwa na ngozi.
UMALAYA HAUKUBALIKI KWENYE UTUMISHI WA UMMA.
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818Inatoa taswira ya mtoto ni baraka
Malaya malaya tu, sielewi zilitumika sifa gani kumpa udc ,ona anavyochafua ofisi ya umma kwa uzinziSina shida na hiyo Mimba yake, ila kwa ninavyomjua Disii sidhani hata kama aliyembambika hiyo Mimba anamjua.
Huyu DC ni mzinzi sana amekuwa akiwa na tabia za uzinzi, DC wa hivi akisimana mbele yangu naona kichefu chefu kabisa, haiwezekani niongozwe na kiongozi malaya.Mleta mada uko sahihi. Huyu dada kwa sasa anatembea na ushahidi kuwa ni muasherati. Kuna uwezekano mkubwa alitembea na mume wa mtu.
Kiongozi yeyote lazima awe na uwezo wa kuonesha njia wengine. Viongozi lazima tuwe vielelezo katika mwenendo mzima wa maisha yetu kwa ujumla. DC sio cheo kidogo. Lazima maadili flani yafuatwe.
Kiongozi mkubwa vile kutembea nje ya maadili ni aibu kwa anaowaongoza na fedheha kwa Taifa. Binafsi ninalaani kitendo cha mtu yeyote kibeba mimba nje ya ndoa, yaani kuwa mwasherati/mzinzi ni machukizo mbele za Bwana Mungu na mbele za jamii.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Dc hafai tena huyu, akapumzishwe ili akazae vizuri na kuendelea na umalaya wake. Hatutaki viongozi wasiyo na maadili.Mamlaka ya uteuzi,tunauliza kuhusu utaratibu? Hakuna uvunjifu wa maadili ya utumishi wa umma?
Huyu DC amekosa mume wa kumuoa au wamefunga ndoa ya kimya kimya?
Kama hajavunja maadili ya utumishi wa umma, lakini zinaa ni mmomonyoko wa maadili kidini
Hajaolewa, anaendekeza uzinzi na umalaya kwenye ofisi ya umma. Hafai kutuongoza tena.Kama hataki ndoa ila anataka mtoto utamlazimsha?
Wewe umejuaje kama hajaolewa?
Acheni kupangia watu maisha..
Hatutaki malaya kwenye ofisi za ummaSijui mijitu mingine ipoje,mlitaka atoe hiyo mimba au?acheni husda mwacheni azae.Mbona nyie maboss maofisini mnatia watu mimba pasipo mpangilio?au kwa vile hambebi ushahidi wakudinyana? maadili my foot...!Jojo kama unapita humu zaa tena akifikisha miez 4 beba ingine kwa raha zako.
Utatuweza wabongo sasa, wengi ni watu wa hovyo mtu anataka uishi anavyotaka yeye sio unavyoweza wewe. Inashangaza sana.Sijui mijitu mingine ipoje,mlitaka atoe hiyo mimba au?acheni husda mwacheni azae.Mbona nyie maboss maofisini mnatia watu mimba pasipo mpangilio?au kwa vile hambebi ushahidi wakudinyana? maadili my foot...!Jojo kama unapita humu zaa tena akifikisha miez 4 beba ingine kwa raha zako.