Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzinzi na uhuni ndo nini?Siyo bure jamiiforums imeingiliwa... Kiongozi wetu kuwa mzizi siyo faragha. Ingekuwa faragha hiyo mimba isingeonekana pia. Tukubariane huo ni uzinzi na uhuni FULL STOP
Baba, mama jeMume wa samia sijawahi kumuona.
Hapa ofisini wanawake wanne hawana ndoa na wamezalishwa Tena wanatangazwa fulani fulani mkuu wa department fulani amefanikiwa kupata mtoto wa kiume watu "hongera"Hatutaki malaya kwenye ofisi za umma
Faragha za watu ziheshimiwe besides mtu akifunga ndoa sio lazima ajulishe ulimwengu mzima, itoshe kusema yeye ndio ana maamuzi ya mwisho na maisha yake.Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
Vunja beiNiliwahi kusikia Mzee Wake ni Mchungaji.... !
Kama ni hivyo anamuaibisha.. Akamatwe afungishwe ndoa Na huyo aliyempachika Mimba..! Kwa Shuruti.
Mtaani tunaita ndoa mkeka.
Inawezekana siyo sheria lkn kiustaraabu siyo vizuri kabisa. Kupata mimba bila mume kwa Afrika yetu na kidini ni chukizo. Tunaomba viongozi tuwe na haiba. Jamii inamchukuliaje sasa?
Na wewe beba kama unaona anafaidi sanaKatika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
KweliiKatika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.
Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.
Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.
Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.
View attachment 2290818
Hakuna swala la kibinafsi tena unapokuwa kiongozi wa umma.Nadhani swala la ndoa, mahusiano, ujauzito, uzazi, watoto, ni la kibinafsi zaidi ndugu mleta mada.
Unajisumbua we deal na wadada zakoNdo uanze kupiga sasa, kama unaona hatupigi kelele
Uko sahihi kabisa.CV yake alioipeleka kwa Muheshimiwa Raisi ili ampe kazi ya UDC, Marital Status yake imeandikwa yupo SINGLE, inakuaje sasa Single anakua na Mimba. Aaache kazi aje kuishi maisha ya mtaani huku ambapo Single hua na mimba na hawaulizwi. Ukitaka Cheo Fuata Miiko.
Umalaya kwenye ofisi za umma, tena kwa Kiongozi mwenye dhamana kama yeye haina tija kabisa.Kabisa...mia mia. Napendekeza kwenye katiba mpya wawepo polisi wa kulinda maadili. Wazinzi wote sompeka ndani au chinja kabisa. Tena waanze na mie mzabzab.
Hatari, na mimba juu, Yaaani kishudu kinaamishiwa mbele, ili aonekane vizuri kwamba anazini [emoji23]Safi sana naona wanaume wanaendelea kutekeleza makubalia o yetu ya kikao kwamba; no kuoa ni kugegeda na kutia mimba tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]