Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Siyo bure jamiiforums imeingiliwa... Kiongozi wetu kuwa mzizi siyo faragha. Ingekuwa faragha hiyo mimba isingeonekana pia. Tukubariane huo ni uzinzi na uhuni FULL STOP
Uzinzi na uhuni ndo nini?

Ni kinyume na kifungu namba ngapi cha sheria ipi ya nchi?
 
Hatutaki malaya kwenye ofisi za umma
Hapa ofisini wanawake wanne hawana ndoa na wamezalishwa Tena wanatangazwa fulani fulani mkuu wa department fulani amefanikiwa kupata mtoto wa kiume watu "hongera"

Ukiangalia hana ndoa ujuaji mwingi vinguo vya uchi uchi tu
 
CV yake alioipeleka kwa Muheshimiwa Raisi ili ampe kazi ya UDC, Marital Status yake imeandikwa yupo SINGLE, inakuaje sasa Single anakua na Mimba. Aaache kazi aje kuishi maisha ya mtaani huku ambapo Single hua na mimba na hawaulizwi. Ukitaka Cheo Fuata Miiko.
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.

Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.

Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.

Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.

View attachment 2290818
Faragha za watu ziheshimiwe besides mtu akifunga ndoa sio lazima ajulishe ulimwengu mzima, itoshe kusema yeye ndio ana maamuzi ya mwisho na maisha yake.
 
Inawezekana siyo sheria lkn kiustaraabu siyo vizuri kabisa. Kupata mimba bila mume kwa Afrika yetu na kidini ni chukizo. Tunaomba viongozi tuwe na haiba. Jamii inamchukuliaje sasa?

Na yule mwenzenu anaetambulisha watoto instagram wa mama tofauti ni maadili ya utumishi? Na huku ana mkewe wa ndoa ya kikristo?
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.

Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.

Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.

Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.

View attachment 2290818
Na wewe beba kama unaona anafaidi sana
 
Kwelii
 
Nadhani swala la ndoa, mahusiano, ujauzito, uzazi, watoto, ni la kibinafsi zaidi ndugu mleta mada.
Hakuna swala la kibinafsi tena unapokuwa kiongozi wa umma.
Basi viongozi wanaokunywa na kujikojolea tuwaache sababu ni swala la kibinafsi!!??
Basi viongozi wanachukua waume/wake za wananchi wao tuwaache sababu ni swala la kibinafsi!!??
 
Ameniudh saana uyu mngon alishindwa kumwambia hawara yake amuoe mmmm uhuni tu
 
Acha wivu we ni mwanaume. Huna mambo mengine ya kufanya mpaka uanze kufatilia maisha ya wanawake? Nini kimekupain wewe hapo
 
CV yake alioipeleka kwa Muheshimiwa Raisi ili ampe kazi ya UDC, Marital Status yake imeandikwa yupo SINGLE, inakuaje sasa Single anakua na Mimba. Aaache kazi aje kuishi maisha ya mtaani huku ambapo Single hua na mimba na hawaulizwi. Ukitaka Cheo Fuata Miiko.
Uko sahihi kabisa.
 
Kabisa...mia mia. Napendekeza kwenye katiba mpya wawepo polisi wa kulinda maadili. Wazinzi wote sompeka ndani au chinja kabisa. Tena waanze na mie mzabzab.
Umalaya kwenye ofisi za umma, tena kwa Kiongozi mwenye dhamana kama yeye haina tija kabisa.
 
Safi sana naona wanaume wanaendelea kutekeleza makubalia o yetu ya kikao kwamba; no kuoa ni kugegeda na kutia mimba tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatari, na mimba juu, Yaaani kishudu kinaamishiwa mbele, ili aonekane vizuri kwamba anazini [emoji23]
 
Back
Top Bottom