Tetesi: Jokate Mwegelo kugombea uenyekiti wa Taifa UVCCM?

Tetesi: Jokate Mwegelo kugombea uenyekiti wa Taifa UVCCM?

Go on Lady. I wish u all the best to fulfill your dream great Lady.
 
CHADEMA wanatamani Joketi angekuwa kiongozi wao wa BAVICHA

9bb3190facd0cbeec3dabe37dfd274f4.jpg
 
Le mutuz?
Hapana huyo ni mdogo wake Mwele. Alikufa katika mazingira ya utata wakati alipoonyesha nia ya kuwania uenyenyekiti wa UVCCM. Jamaa alikuwa mtu wa watu lakini alikufa kifo chenye utata. Sidhani kama Mzee Malecela amepona kutokana na kidonda cha kuondokewa na kipenzi chake.
 
Ok
 
Tanu Youth league na hii UVCCM ni mbingu na ardhi and the 20th century Youth are seen much more enlightened determined and committed compared to the so called ulimwengu wa .com
 
Mbona hamna baya hapo. Maaana first lady Wa Marekani, alikua mwanamitindo, ila as HV no first lady, hata yy ataweza ni flexibility tu.
 
Sina cha kuongeza hapa ila tu ikumbukwe
Hata Nape alikuwa kichwa kwa CCM ya wakubwa.
Yangu Macho tu
 
Ila kiukweli Jokate ana elimu nzuri na uwezo wa ushawishi. Binafsi naona huyu binti ana kitu ambacho either hata yeye hajui lakini pia wengi hawajagundua uwezo wake kisiasa ....nimesikia jinsi alivyokuwa akijibu maswali ya wanahabari na kushtushwa na uwezo wake hasa kuchagua nini azungumze ....private life ina mengi kwa kila mmoja wetu ....CCM wampe fursa ...naamini hawatojutia ....
"CCM wampe" nimeipenda ni uzalendo wa hali ya juu na sio chuki za uchama..
 
Back
Top Bottom