THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Jokate anaweza akawa mtu mzuri kwenye siasa tofauti na huyu Wema tuliyetaka kumpa ujumbe wa kamati kuu CHADEMA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwezi kumsifia huyo jokate bila wema inaonyesha jinsi gani wema kamzidi ndo maana alimbwaga kwenye umiss tzJokate anaweza akawa mtu mzuri kwenye siasa tofauti na huyu Wema tuliyetaka kumpa ujumbe wa kamati kuu CHADEMA.
Amepewa ili amvute Ali Kiba.Hivi ccm wanawapendea nn wasanii
WanaushawishiHivi ccm wanawapendea nn wasanii
Miaka ni NAMBAKabinti ka miaka 33?