Tetesi: Jokate Mwegelo kugombea uenyekiti wa Taifa UVCCM?

Jokate anaweza akawa mtu mzuri kwenye siasa tofauti na huyu Wema tuliyetaka kumpa ujumbe wa kamati kuu CHADEMA.
 
Jokate anaweza akawa mtu mzuri kwenye siasa tofauti na huyu Wema tuliyetaka kumpa ujumbe wa kamati kuu CHADEMA.
Hivi huwezi kumsifia huyo jokate bila wema inaonyesha jinsi gani wema kamzidi ndo maana alimbwaga kwenye umiss tz
 
Hivi huyu Jokate ameukana lini uraia wake wa marekani?ccm angalieni msije kuingizwa kwenye kashfa nyingine ya kuongozwa na mmarekani au mbongo mwenye passports mbili kama Manji.
 
Jokate ni mrembo anafaa kuwa Mwenyekiti kwa UVCCM. Akichanga karata yake vizuri atapata Mwenyekiti. Sifa anayo inambeba lakini lazima awe "Mjumbe".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…