Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
masikini huyo dogo anafikiri siasa ni ngonjeraTuna sababu zote za kumsemea Rais Samia kwasababu kazi zake zinaonekana ametugusa kila nyanja, Rais ambaye mpaka sasa hajakosea chochote, kwa lugha ya vijana tunasema mama hana baya.
Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kuweza tu kusimamia nchi ilipopitia magumu kwa mara ya kwanza tulipoondokewa na rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, vita ingelipuka lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia amani imetawala na maisha yanaendelea.
View attachment 2977298
Jokate, umeokotwa kutoka kwenye kukaa uchi kwenye stage, leo lazima utamwabudu yeyote aliyekuokoa na kudanga kwenye stage!Tuna sababu zote za kumsemea Rais Samia kwasababu kazi zake zinaonekana ametugusa kila nyanja, Rais ambaye mpaka sasa hajakosea chochote, kwa lugha ya vijana tunasema mama hana baya.
Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Kuweza tu kusimamia nchi ilipopitia magumu kwa mara ya kwanza tulipoondokewa na rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, vita ingelipuka lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia amani imetawala na maisha yanaendelea.
View attachment 2977298
Ameungana Na Wakina Makala, Sophia Mjema Yaani Hawana Mvuto Kama Futari Ya MagimbiSiasa haimpendezi kabisaa huyu Kipenzi changu,,havutii kabisa hapendezi kuwa mnafki nafki na muongo muongo,,Hafananii na Siasa kabisa huyu Binti!!
Hawa kama wana akili wakae kimya tu kuhusu mada za mama samia wajikite kueleza mambo yenye tija, hii yabkukaa muda wote mnaongelea mama sijui kafanywaje sijui wamemsemeje ndio inazidi kufaya watu wahisi kuna mahali ana pwaya maana utetezi wa kujihami unaonekana kuwa unakuwa mwingi sanaTukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia
Hivi Hawa ccm huwa hawafikiri hata kidogo kabla waongee! Tanzania sio nchi ya kwanza kufiwa na rais aliyeko madarakani: Kenya (Kenyatta), Ghana (John A. Mills), Malawi (Bingu wa Mutharika), Zambia (Michael Sata na Levvy Mwanawasa), Chad, Ethiopia, Nigeria (Umaru M. Yaradua), Guinea etc.Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia
Ngoja tuone kwenye Mei Mosi ameandaa "pekeji" ya aina gani safari hii.Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia