Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,052
- 2,866
Picha za uchi ilikua kitambo, mtu ana haki ya kubadilika pia ana haki ya mambo yake ya zamani kusahaulika kwa kimombo "right to be forgotten" .Huyu aliyekuwa anavaa uchi na kuzaa nje ya ndoa amepewa madaraka yasiyo size yake kageuka kuwa chawa. CCM wanapomchagua mdada km huyu wanataka kutoa ujumbe upi kwa jamii!? Watoto wetu wazae nje bila ndoa na kupiga picha za uchi?
M@l@ya hastaafu kazi yake huwa anapumzika tu. Jichanganye uoe mwanamke m@l@ya kwa matumaini kuwa atabadilikaPicha za uchi ilikua kitambo, mtu ana haki ya kubadilika pia ana haki ya mambo yake ya zamani kusahaulika kwa kimombo "right to be forgotten" .
Muktadha wa jokate na umalaya ni tofauti! Yule alikua mdangaji km wanawake wengi walivyo!M@l@ya hastaafu kazi yake huwa anapumzika tu. Jichanganye uoe mwanamke m@l@ya kwa matumaini kuwa atabadilika
Nini tofauti baina ya mdangaji na malaya? Acha uchawa wewe bintiMuktadha wa jokate na umalaya ni tofauti! Yule alikua mdangaji km wanawake wengi walivyo!
Kuna tofauti kubwa jati ya mdangaji na malaya. Jokate hakuwahi kuwa malaya!
Nchi gani pangechimbika? Mbona Malawi hapakujimbika?!Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia
Chonde chonde, tuwekee hizo tofauti.Muktadha wa jokate na umalaya ni tofauti! Yule alikua mdangaji km wanawake wengi walivyo!
Kuna tofauti kubwa jati ya mdangaji na malaya. Jokate hakuwahi kuwa malaya!
Halafu maneno mazuri yanapokuwa yametokwa kwenye kinywa cha mtu mrembo!!!Tukatae watu wanaotaka kumdhoofisha mwenyekiti wetu (Wa Chama Cha Mapinduzi Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Ameongeza kuwa kwa mara ya kwanza Tanzania imefiwa na Rais akiwa madarakani, ingeikuwa nchi nyingine basi pangechimbika, lakini kwa Tanzania chini ya Rais Samia
Mimi sio binti arifu!Nini tofauti baina ya mdangaji na malaya? Acha uchawa wewe binti
Huyu anataka kusema ng'ombe wa kisasa sio ng'ombe. Nchi hii ina vituko sanaChonde chonde, tuwekee hizo tofauti.
Ok sawa tuelezee hiyo tofauti mama yetu kipenziMimi sio binti arifu!
Hii kitu duniani kote inapatikana sehemu moja tu nako ni ccm 🤣 🤣Huyu aliyekuwa anavaa uchi na kuzaa nje ya ndoa amepewa madaraka yasiyo size yake kageuka kuwa chawa. CCM wanapomchagua mdada km huyu wanataka kutoa ujumbe upi kwa jamii!? Watoto wetu wazae nje bila ndoa na kupiga picha za uchi?
Wanajidhofisha wenyewe kwa kuahirisha kufikiri, (kujitoa ufahamu)Anadhoofika kwani anapambana na nani!!?nani namdhoofisha!!?Mbona mnamfanya mwenyekiti apigane na hewa!!?
Mmeshasema kuwa mtachapisha fomu Moja tukakubali Sasa anadhoofishwa na nani!!?
Yale Yale ya marehem jpm ;Tume ya uchaguzi yake,Dola kaishika tayari,lakini alisikika akisema hivi kwenye kampeni:-"mwinyi mlimpa awamu mbili,mkapa awamu mbili!kikwete awamu mbili!!,kwanini mimi mnataka kunipa awamu moja!!?
Ikawa kweli akalazimisha awamu ya pili hakuimaliza coz alibishana na asili!!
Muulizeni mwenyekiti kwamba akiyatazama majani,mchanga,mawe,hewa,Jua,mwezi n.k anaona awamu mbili au moja!!?
Kama anaona awamu mbili basi akae kimya hakuna haja ya makelele tote haya toka kwa wapambe,kama anaona moja mwambieni arudi nyumbani akalee wajukuu!!