Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ila kusema la ukweli Tanzania na africa kwa ujumla tunaishi kwa kukariri mno yaani sijui tatizo liko wapi mfano huyo jokate ni pozi kali ila hata kama ana miaka mingi hajaolewa tatizo liko wapo kama mnaamini kila kitu ni mpango wa mungu .
Ukienda nje hawasemani huo upuuzi mfano rihanna ndo anatarajia mtoto wa kwanza kwa age ya 33
Basi mwacheni kwa uzuri ni mkali sana mwacheni final kila mtu atakufa familia ,majumba ,mali na watoto tunaacha mwacheni
Kama sio msongo wa mawazo, basi una mtindio wa ubongo….. jitahidi kunya asubuhi inasaidia kupunguza makasiriko.