Jokate Mwegelo ni kati ya wajasiriamali 30 wanaofanya vizuri- Forbes Africa

Jokate Mwegelo ni kati ya wajasiriamali 30 wanaofanya vizuri- Forbes Africa

Mzee biashara zipo nyingi. Usishangae sana. Anaweza kuwa ni mjasiriamali wa mwili wake.
Tatizo siyo biashara, maana ya mwili anafanya na tunajua. Lakini kuwekwa eti forbes ni kupoteza umakini
 
Pia wamekuwa wakimg'ang'ania Mo/Gulam kama tajiri namba moja Tz lkn ukijaribu kuangalia kwa haraka haraka Bakhresa yuko mbali sana ukiangalia raslimali alizonazo ni nyingi kuliko Mo......hawa jamaa hata sijui wana malengo gani......eti Jokate hajafikisha miaka 30? Khaaaah!!!
Maandiko yao mengi siku hizi yako kibiashara, Unampa chochote mwandishi anakuandika kama SORT OF PROMOTION ili na wewe uitumie hiyo title kuingiza chochote. Kama hawa forbes Africa ndo matapeli haswaa
 
jokate hajagusa kabisa maisha ya kuajiriwa toka alivyotoka chuo.. hajazungusha bahasha wala kufanya interview za kina sisi...

ila tusisahau ni mtoto wa obey na hata kuzaliwa kazaliwa washington usa...

ila kwenye age wameongopa.. yupo kwenye 30s
Jokate hajagonga 30 bhnaaa kwenye 27/8
 
Hahahaaa...Napata mashaka na hili jarida la Forbes..
Jokate Miss Tanzania No2 mwaka 2006, sasa kama ni under30 ina maana kamati ya Lundenga mwaka huo waliruhusu mtoto kushiriki Umiss...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaa...Napata mashaka na hili jarida la Forbes..
Jokate Miss Tanzania No2 mwaka 2006, sasa kama ni under30 ina maana kamati ya Lundenga mwaka huo waliruhusu mtoto kushiriki Umiss...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yale yale ya kina Jackline Mengi, kibiashara kinaanzishwa jana - leo kinatambuliwa na Forbes africa.

- Anafanya biashara gani serious ?

- Kampuni yake inaitwaje ?

- Kaajiri watu wangapi na ulipaji kodi wake ukoje ?

UJINGA MTUPU na vikampuni vya mfukoni kama WEUSI hata ofisi hakuna

- Kama Forbes wataendelea kumwamini MFONOBONG NSHEHE ( Forbes Africa Under 30 ) wanaweza kupoteza wasomaji makini, maana amekuwa MTUNZI tu wa STORI na mpenda RUSHWA i think
Kama una hasira hivi?? Uhakika ulionao kuhusu jokate ni upi ili nas tuujue?? Tafuta vizur kuhusu Jokate
 
Tatizo siyo biashara, maana ya mwili anafanya na tunajua. Lakini kuwekwa eti forbes ni kupoteza umakini
Ni kweli kabisa. Hii inatupa kielelezo cha kuanza kutilia mashaka ukweli wa taarifa za Forbes. Wengi tuliziamini sana taarifa zake lakini kasoro kama hizo za kukosekana kwa ushahidi wa biashara za Kidoti pamoja na umri zimetia doa kubwa sana jarida hilo la Forbes.
 
Ni Forbes Afrika na mwandishi aliyepewa jukumu hilo ( Mfonobong Nshehe ) na yeye naona kaigeuza kuwa fursa
 
Hata Mo nadhan kamzid bahressa kwa mkwanja kwa miaka miwili hii iliyopita..Mo yupo vzr jombaaa

Samahani wenye uelewa watufafanulie utajiri wa MO vs Bakhresa vs Mengi kwa utajiri wao mfano viwanda ,maduka n.k
 
Jamaa amelishushia hadhi gazeti
Ni kweli jamaa anaboa sana. Kule Twitter niliona mpaka Mengi kamfollow na siku siyo nyingi nikakuta kwenye Forbes STORY NDEEFU YA UONGO NA KWELI Kuhusu bidhaa za K-LYIN na ghafla hata sijakaa sawa, walipotoa Under 30 yao nikakuta tena K-LYIN amewekwa kwenye "YOUNG ENTREPRENEURS TO WATCH"

- Jamaa amekuwa mtu wa janja janja nyiiingii aka Deal
 
Yale yale ya kina Jackline Mengi, kibiashara kinaanzishwa jana - leo kinatambuliwa na Forbes africa.

- Anafanya biashara gani serious ?

- Kampuni yake inaitwaje ?

- Kaajiri watu wangapi na ulipaji kodi wake ukoje ?

UJINGA MTUPU na vikampuni vya mfukoni kama WEUSI hata ofisi hakuna

- Kama Forbes wataendelea kumwamini MFONOBONG NSHEHE ( Forbes Africa Under 30 ) wanaweza kupoteza wasomaji makini, maana amekuwa MTUNZI tu wa STORI na mpenda RUSHWA i think
Umeuliza maswali kuntu sanaa....big up
Forbes jarida la upromoo tu

Ova
 
Angetajwa Mkenya poa tu ila kwa kuwa ni Mtz acha tupovuke tu.
 
Back
Top Bottom