Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
nje ya mada

Huyu mbona kazeeka ghafla?
Hata kama uzee hauna hodi,
Huyu umemuwahi mapema.
Nzao 1 tu kawa hivi?
 
Kweli CCM ndio chama peke yake chenye nguvu, uwezo na dhamira ya kuitawala tanzania milele. CCM wana nguvu ya dola, wanawezeshwa na katiba tulionayo ya chama kimoja, na dhamira iliopewa nguvu na uddhaifu na ubobezi ulio wadumaza watanzania. Jamii ya watanzania ni maiti walio hai. Hata wasomi wakitanzania ni vilaza wa CCM. Tutegemee demokrasia wakati wananchi wenyewe nyimbo yao ni CCM yajenga nchi?.
 
Zinazolindwa ni zile kura fake za kwenye mabegi.
 
Kulinda kura?....yaani CCM ilinde kura isiibiwe ?hahaha ....duh ...nchi ya vichaa...Kwa hiyo huyu ndio mteuliwa mpya...hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…