Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2927475
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea".

Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu- Umoja wa Wanawake Tanzania, CCM (UWT)
Kazi iendelee 👇👇
Screenshot_20240316-115218.jpg
 
View attachment 2927475
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea".

Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu- Umoja wa Wanawake Tanzania, CCM (UWT)
Hivi wanaume wakigoma kutupa "unyumba tu" si tutajikuta tunatembea huku tunaongea wenyewe?

Mwanaume huwezi kumkomoa, akikunyima wiki moja tu unakuwa chizi!
 
Back
Top Bottom