MubengaJr
Senior Member
- Oct 14, 2022
- 151
- 336
Tatizo amehamishia ubongo tumboni na utumbo ameweka kichwani mkuu. Hawa viumbe natamani ufike wakati turudi zama za kale. Ukiangalia sana utagundua kuna jambo linakuja mbeleni. Hawa akina hawa hawapaswi kupewa hata sekunde kusherehekea vile walivyo.Yeye yule aliemtia mimba akafanikiwa kumzalisha sio kwamba alimpigia kura akamkabidhi sifuri zero yake aweke kitu ndani au anataka kusemaje amepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu? Alafu kabla ya kuropoka jichuje kwanza sio unaropoka tu vingine utaropoka kumbe unapotoka