Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Pre GE2025 Jokate Mwegelo: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
View attachment 2927475
"Tutakwenda kuhakikisha tunaongeza ushiriki wa Wanawake kwenye hizi chaguzi kwa Wanawake wenyewe kugombea. Ufike mwisho wakati wa Wanawake kuwa ndugu watazamaji na wasindikizaji na ifike mwisho Wanawake kuwa ni sehemu ya kuwapigia kura Wanaume wakati ninyi mna uwezo wa kugombea".

Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu- Umoja wa Wanawake Tanzania, CCM (UWT)
Mimi hata sielewi
 
Huyu ndio kaharibu kabisa!!!

Yaani kanifanya mwakani nichukue fomu ya urais Kwa tiketi ya CCM kabisaa!!

Wanawake watanipigia kura nyingi!!
 
Side Kuna vitu sio hata vya kuongea mbele za watu maana Ni aibu kauli gani hizi Sasa?Yaani hata Kama atawekwa mtu na kivuli kichaguliwe kivuli kisa tu Ni kivuli Cha mwanamke?hapana
 
Yeye yule aliemtia mimba akafanikiwa kumzalisha sio kwamba alimpigia kura akamkabidhi sifuri zero yake aweke kitu ndani au anataka kusemaje amepata mimba kwa uwezo wa roho mtakatifu? Alafu kabla ya kuropoka jichuje kwanza sio unaropoka tu vingine utaropoka kumbe unapotoka
🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom