Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,578
Ndo unaanza kuwaelewa leo mkuu!? Mbona umechelewa sana!? Mimi huwa nawaelewa sana hawa wakulungwa.Okay nilikuwa siwaelewi wataliban sasa naanza kuwaelewa.
Hizi takataka zinaitwa 50/50, sijui ukiinua mwanamke umeiinua jamii ni ujinga mtupu! Hali hii imevuruga kabisa ustawi wa jamii, ustaarabu ni zero, ikianzia kwenye taasisi (iliyokuwa nyeti) ya ndoa na malezi ya watoto.
Mwanamke anatakiwa apate haki kiasi zenye kikomo ili kudumisha ustawi katika familia na jamii kwa ujumla. Hata maandiko hayajaelekeza upuuzi wa haki sawa, hayajatoa nafasi kwa wanawake, yawe ya biblia takatifu ama quran tukufu. Yaani Mungu mwenyewe aliyajua madhara ya kumwinua mwanamke, kumwinua mwanamke ni kumwinua ibilisi shetani ashike hatamu.
Siku nikishika hii nchi nitaanza kwa kurudisha maadili yaliyojifia katika nchi hii, na ili kufanikiwa katika hilo ni lazima mwanamke awekewe speed governor. Hivyo katika kutekeleza hilo nitaiga baadhi ya mambo huko kwa hao wataleban na ndugu zao waarabu.