Kuna wanaandika humu kama wamelewa au wanadhani wako Instagram.Yumo kwenye nini
Hata hapo utaonekana una tamaa, huyo ni wa kumgawa bure au kama kwako kuna panya wengi una mbadili na paka.Ungekuwa ndugu yangu wewe ningebadilishana na gunia la ufuta/hovyo kabisa
Yaan tangia atue bungeni huyu mambo n moto. Wengine wanazikwa wengine ndo ivyo tena. Ivi bado nani aondoke nae pale bungeni?
Sema wapenda haki wote nyie si mlifurahia kuona viroba baharini hizo zama zimepita.Unajua huwa nashangaa sana akili za baadhi ya watu kama nyie 😀😀
Labda nikuulize swali jepesi watamalizwa na nani? Mama samia? Mama samia ni chadema? Au sababu wamemtoa sabaya kafara kuwafurahisha mioyo na nyie mnaelekea kibra? Yani hamko smart kabisa. None of you can decode the political game. Sahivi chadema wote wanashangilia as if wamechukuwa nchi 😂😂😂
Mwendo ni kituo hadi kituo mpaka tutakapofika kwenye kwere ya zile billion 26 za matibabu IndiaYaan tangia atue bungeni huyu mambo n moto. Wengine wanazikwa wengine ndo ivyo tena. Ivi bado nani aondoke nae pale bungeni?
johntheWewe ndio mbwiga kabisa hapo Bavicha.
Yaani DC afanye jinai halafu Rais ndio anatoa kibali akamatwe au asikamatwe?
Wapuuzi kama nyie ndio mnasababisha Mwamba astaafu!
KIHENGE=ghalaYasemekana huyu ndio kilikuwa kihenge cha kuhifadhia hela zote za unyang'anyi alizopora Sabaya
We Ni jinga aswaa, watu wanaangalia maslai ya Taifa, ayo mambo ya mivyama hayana faida thenge weweUnajua huwa nashangaa sana akili za baadhi ya watu kama nyie 😀😀
Labda nikuulize swali jepesi watamalizwa na nani? Mama samia? Mama samia ni chadema? Au sababu wamemtoa sabaya kafara kuwafurahisha mioyo na nyie mnaelekea kibra? Yani hamko smart kabisa. None of you can decode the political game. Sahivi chadema wote wanashangilia as if wamechukuwa nchi 😂😂😂
Wewe kweli ni takataka wa kupuuzwaWewe ndio mbwiga kabisa hapo Bavicha.
Yaani DC afanye jinai halafu Rais ndio anatoa kibali akamatwe au asikamatwe?
Wapuuzi kama nyie ndio mnasababisha Mwamba astaafu!
Ameteuliwa na mzee mgaya pengineOmbi la kumkamata mtuhumiwa kwa mahojiano kibali kinatolewa na Rais?
Alishaapa kuwataja wote aliokua anafanya nao kazi kwenye karakana ya ibilisiSabaya ni mwepesi Sana ni lzm atawaja wote walionufaika wote ikiwemo waliokuwa wakimpa silaha akafanye uhalifu
Mkuu sikuwahi kufikiri Kigogo anaweza kuwa chanzo chako cha Habari cha kuminika ?Kipilimba kipindi yeye na kikosi chake kilichokuwa TISS kikiratibu utekaji wa wakosoaji mitandaoni.
[emoji117]Tunajulishwa kuwa OMBI LENU TUKUFU limefika mezani kwa KMK Katanda ili Rais atoe kibali cha kumkamata na kumhoji JOKATE MWANGELO(pichani) - kwa tuhuma za kuhusika kuhifadhi pesa https://t.co/2s7E5Bqt61
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shida gani kuwa na source of informatin kama ya Kigogo? Pokea na chuja, lkn Kigogo ni source of information, hilo halina ubishi. Ubishi ni how reliable is that source of information.Mkuu sikuwahi kufikiri Kigogo anaweza kuwa chanzo chako cha Habari cha kuminika ?
Ama kweli , Watanzania tuna Shida
Wazungu wanaita 'camouflage'.Mwanasiasa anayependa macamera kwa kila anachofanya ni wa kuogopa kama ukoma
Hata hapo utaonekana una tamaa, huyo ni wa kumgawa bure au kama kwako kuna panya wengi una mbadili na paka.
Wewe ndio mbwiga kabisa hapo Bavicha.
Yaani DC afanye jinai halafu Rais ndio anatoa kibali akamatwe au asikamatwe?
Wapuuzi kama nyie ndio mnasababisha Mwamba astaafu!
Kama alikuwa ni mwekahazina akae mguu sawaAlishaapa kuwataja wote aliokua anafanya nao kazi kwenye karakana ya ibilisi
Jiwe ndie aliyekuwa sheria na sheria ndio ilikuwa jiwe.zama ubadilikaKwa taarifa yako hapa bongo mteule wa rais hata akiuwa makusudi barabarani hawezi kukamatwa wa kuchukuliwa hatua za kisheria mpaka kibali kitoke ikulu
Rejea kilichomtokea nape alipotaka just kumuundia tume bashite kwa uhuni alioufanya clouds