Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
Ig sina access nayo ila mbona aibuuu!!ha ha hamtembelee usipojipanganitakupanga ujiojee mwenyewe mamaaa, kama ni kweli aiseee!!!!! ni hatariii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ig sina access nayo ila mbona aibuuu!!ha ha hamtembelee usipojipanganitakupanga ujiojee mwenyewe mamaaa, kama ni kweli aiseee!!!!! ni hatariii
Kunani tena?? Ebu nipe ubuyu, maana presha ipo juu mpaka naona nachelewa kuingia insta
Ig sina access nayo ila mbona aibuuu!!ha ha ha
alikuwa ameweka exclusive ya zari ila kaitoa baada ya kuona imebreak the instagram.
Mmh!! Yule jipange mbea kiama, nfyuuu hiyo yote kisa boss wake mama ubaya kaachwa, na bado atahangaika sana, ila zari nae kajibu wala haja panick, kasema yale ni mambo yake binafsi na wala hayamuumizi, kajibu exactly as rio alivyojibu alivyonaswa wakat anakatika mauno
hahahahahaaa nimependa hapo uliposema amejibu exactly as rio, lakiniiiii hivi its impossible kabisaa kuwa nyota bila kufanya masinema??? nauliza tuu!!
Kujikoboa ndo nini?kujisigina?
The thing is, as rio alijitetea kuwa ile video ilikuwa kwenye simu yake as private stuffs kwa matumizi yake binafsi, na zari nae kasema hivyo hivyo tena bila kuogopa wala kubabahika, ila kawaomba ndugu zake na familia yake wasijisikie vibaya kwani video ile ilitolewa na wabaya wake na sio yeye, so utetezi wake kwangu kidogo una mantiki, ila alichokosea tu ni yeye kuwa makini na private stuffs. Kila mtu ana upuuzi wake kwenye simu au laptop , so inatokea tu one of someone's private issues ku leak, its very common kwa masuper star kutokea,
![]()
Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.
Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa alisema Jokate kwa kifupi.
Chanzo: GPL
Yani kama kuna mabinti wamewahi kunichefua huyu ni namba moja. Poor Jokate.
Kaku.tolea n.je nini mkuu
Kama namwona mama ubaya akichekelea na ile michirizi yake mfyuuu!!dai usirudi kwa mama ubaya bwana!ingawa Zari kapata aibu she needs u more by her side rite nw!
Binamu ni wewe huyu au unaandikiwa? Utetezi dhaifu sana huu ndio maana tunashauliwa kabla ya kuoawana tusomane tabia kwanza.
Mume anapofikia kumuacha mwanamke anayevutia kama Zari na ana pesa zake kama una akili timamu unapaswa ujiulize sana unless labda uniambie hujui maana ya mke na hujui maana ya bond ya watoto.
Mrembo by Nature where are you?
Baada ya video ya zari ku leak, ndomo kapost picha na baby wake, dah ndomo mswahili hatar , aanze kuimba taarabu maana ana mafumbo hatari