Jokate: Nasikia raha kukaa Utupu nikiwa Chumbani

Yani toto zuri kama lile huwa linakumbwa na ukame?!Nassib fanya kazi yako mpaka asikusahau huyo mgandaa!
 
Ig sina access nayo ila mbona aibuuu!!ha ha ha

mwenyewe leo nimekomaraaa kuwa na acc. ig manake mambo niliyoyaona huko leo japo nimekomaa mpaka nikitema mate yanadunda lakini nimeshtuka, zari kabreak the insta, kavunja record ya kim K.
 
alikuwa ameweka exclusive ya zari ila kaitoa baada ya kuona imebreak the instagram.

Mmh!! Yule jipange mbea kiama, nfyuuu hiyo yote kisa boss wake mama ubaya kaachwa, na bado atahangaika sana, ila zari nae kajibu wala haja panick, kasema yale ni mambo yake binafsi na wala hayamuumizi, kajibu exactly as rio alivyojibu alivyonaswa wakat anakatika mauno
 
hahahahahaaa nimependa hapo uliposema amejibu exactly as rio, lakiniiiii hivi its impossible kabisaa kuwa nyota bila kufanya masinema??? nauliza tuu!!
 
Kama namwona mama ubaya akichekelea na ile michirizi yake mfyuuu!!dai usirudi kwa mama ubaya bwana!ingawa Zari kapata aibu she needs u more by her side rite nw!
 
The thing is, as rio alijitetea kuwa ile video ilikuwa kwenye simu yake as private stuffs kwa matumizi yake binafsi, na zari nae kasema hivyo hivyo tena bila kuogopa wala kubabahika, ila kawaomba ndugu zake na familia yake wasijisikie vibaya kwani video ile ilitolewa na wabaya wake na sio yeye, so utetezi wake kwangu kidogo una mantiki, ila alichokosea tu ni yeye kuwa makini na private stuffs. Kila mtu ana upuuzi wake kwenye simu au laptop , so inatokea tu one of someone's private issues ku leak, its very common kwa masuper star kutokea,
 
Binamu ni wewe huyu au unaandikiwa? Utetezi dhaifu sana huu ndio maana tunashauliwa kabla ya kuoawana tusomane tabia kwanza.

Mume anapofikia kumuacha mwanamke anayevutia kama Zari na ana pesa zake kama una akili timamu unapaswa ujiulize sana unless labda uniambie hujui maana ya mke na hujui maana ya bond ya watoto.
Mrembo by Nature where are you?
 
Last edited by a moderator:
jjj.JPG

Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka
huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.

“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa” alisema Jokate kwa kifupi.

Chanzo: GPL

hakika ni full burudani kwanza unajisikia uhuru fulani and then kiafya is also good kuacha e.n..gines zipu.mue kidogo I like it tu
 
Hivi ukiwa celeb lazma uwe poyoyo? Huwa anakuwa utupu pia akiwa bafuni? Everyone stays naked in their bedrooms for pitty's sake. Aaagh
 
Domo ndo kwanzaa kapost picha ig na baby ake. Haya mapenzi ya kulazimishia nayo wala sio
Kama namwona mama ubaya akichekelea na ile michirizi yake mfyuuu!!dai usirudi kwa mama ubaya bwana!ingawa Zari kapata aibu she needs u more by her side rite nw!
 
Binamu ni wewe huyu au unaandikiwa? Utetezi dhaifu sana huu ndio maana tunashauliwa kabla ya kuoawana tusomane tabia kwanza.

Mume anapofikia kumuacha mwanamke anayevutia kama Zari na ana pesa zake kama una akili timamu unapaswa ujiulize sana unless labda uniambie hujui maana ya mke na hujui maana ya bond ya watoto.
Mrembo by Nature where are you?

Kila mtu ana mapungufu yake, especially kwa mtoto mzur kama zari, lazima asumbuliwe na wanaume
 
Last edited by a moderator:
Domo ndo kwanzaa kapost picha ig na baby ake. Haya mapenzi ya kulazimishia nayo wala sio

Baada ya video ya zari ku leak, ndomo kapost picha na baby wake, dah ndomo mswahili hatar , aanze kuimba taarabu maana ana mafumbo hatari
 
Walaa domo sio mswahili zaidi ya hao mashabiki wa wema. Kwani domo aliambiwa zari ni bikira? Si anajua alikuwa anafanya? Na zile picha zingemuuma domo kama angeshuhudia zari akipewa shughuli na huyo kijana wake walieachana. Ila kuwa anajiduu mwenyewe?

Domo anataka kuwaonyesha simuachiiii. Team wema mnalazimishia mapenzi jamani. Mapenzi mnataka kushikilia kwa zege kama lenta? Hehehe

Back
Top Bottom