Jokate: Nasikia raha kukaa Utupu nikiwa Chumbani

ikitokea umevamiwa na wezi/majambazi, hapo itakua umewashawishi kufanya na mengine.
 
jjj.JPG

Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi

Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka huwa anasikia raha kutovaa chochote. Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo la kujiachia.

"Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa kitu kabisa" alisema Jokate kwa kifupi.

Chanzo: GPL
Ndo kusema .... kapata uteuzi?
 
Back
Top Bottom