Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh uso kuweka hapo imekaaje sijui,enewei ailete sokoni then ataadjust kulingana na response ya wanunuaji
Kwanini asingeweka tu hiyo nembo ya kidoti>>>.
Yap I wanted to say this binamu, thanks
Sura yote sijui zimekuwaje
Labda kawatengenezea Team jokate na si majority kama tunavyodhani
wivu unawasumbua, ziko poa
Sidhani kama hilo lilikuwa lengo.......... halafu kwani na ye ana team kama za wale wengine
Hizi ndala zimekaa kishabiki mno, what if majority hawampendi yy halaf kawek picha yake unadhan watanunua?? , ndo kama Yale ya jide kuweka nembo ya jina lake kwenye maji ,muulize yaliyomkut, halaf nilisikia baby madaha nae katengeneza perfume na mifuko inaitwa candy cjui naona had Leo sijawah kusikia au kuona mtu kanunua , zile nywele alijitahidi kidogo kuziita kidoti, japokuwa sina uhakika kama zinafanya vizur sokoni, kibongo hii ya kuweka jina la msanii kwenye product bado haiko poa, watengenez tu mashati ya team zao mashabiki wao tutanunua, hizo products nyingine waweke tu majina mengine , tatizo mastaa wetu show off nyingi kila kitu wanatak wajulikane wametengeneza wao au ni Mali zao, waone mfano wa mengi na bakhresa , sijaona TV station yeyote ya mengi kaweka jina lake au bakhresa kuweka jina lake kwenye juice au maandazi yake , mpaka Leo kuna baadhi hawajui kama mengi ndiye mmliki wa TV stations tofauti apa nchini , na kuna wengine hata bakhresa hawamjui kwa sura, wengi hawajui marketing strategies especially ukiwa star.
Na sisi wabongo Tuache roho mbaya , yaani tukishaona msanii anapiga hatua tu kosa , wengine hawawez kununua kwa kuwa tu ni Fulani. Wanajua ukishanunua atafaidi sana Sijui yaan fitna tu.
How awful do you people find this idea?
Daah! Picha kwenye ndala?
kwa vile we una wivu basi unadhani kila mtu ana wivu