kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
Mnalalamika kaweka picha uso,je angeweka ya papuchi?
Hiyo tungeisifia na kuifurahia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnalalamika kaweka picha uso,je angeweka ya papuchi?
Kama idea ndo hii huyo Nature pia atavaa yeye na wavuta bangi wenzake!
Hiyo tungeisifia na kuifurahia.
Mbona iko poa tu watu wengine bana sasa mlitaka NANI afanye ndo muikubali
Hizi ndala zimekaa kishabiki mno, what if majority hawampendi yy halaf kawek picha yake unadhan watanunua?? , ndo kama Yale ya jide kuweka nembo ya jina lake kwenye maji ,muulize yaliyomkut, halaf nilisikia baby madaha nae katengeneza perfume na mifuko inaitwa candy cjui naona had Leo sijawah kusikia au kuona mtu kanunua , zile nywele alijitahidi kidogo kuziita kidoti, japokuwa sina uhakika kama zinafanya vizur sokoni, kibongo hii ya kuweka jina la msanii kwenye product bado haiko poa, watengenez tu mashati ya team zao mashabiki wao tutanunua, hizo products nyingine waweke tu majina mengine , tatizo mastaa wetu show off nyingi kila kitu wanatak wajulikane wametengeneza wao au ni Mali zao, waone mfano wa mengi na bakhresa , sijaona TV station yeyote ya mengi kaweka jina lake au bakhresa kuweka jina lake kwenye juice au maandazi yake , mpaka Leo kuna baadhi hawajui kama mengi ndiye mmliki wa TV stations tofauti apa nchini , na kuna wengine hata bakhresa hawamjui kwa sura, wengi hawajui marketing strategies especially ukiwa star.
Na sisi wabongo Tuache roho mbaya , yaani tukishaona msanii anapiga hatua tu kosa , wengine hawawez kununua kwa kuwa tu ni Fulani. Wanajua ukishanunua atafaidi sana Sijui yaan fitna tu.
Watu wangenunua ndala kuipigia nyeto
Atoe na nyingine aweke kitovu chake
Mbona iko poa tu watu wengine bana sasa mlitaka NANI afanye ndo muikubali
How awful do you people find this idea?
Daah! Picha kwenye ndala?
Hizo watavaa mabitches wenzake town
Roho mbaya anayo shetani,wengine Mnaiga tu.