Mtaponda wakati wenzenu wana make money! wa-TZ tuache majungu na roho mbaya.Tunawasifia watu maarufu wa nje ya bongo kuwa wana fedha,nao walianza kama hao wa kwetu. Cha msingi tuwatie moyo ili wafanikiwe ili waajiri ndugu na jamaa zetu ambao hawana ajira.
Endapo akifanikiwa lazima Watanzania 100% ndio watakaonufaika na ajira,sasa ubaya uko wapi? Cha msingi apewe ushauri wa kujenga na siyo wa kumkatisha tamaa. Tuache roho mbaya,wengine hata kuanzisha genge mnashindwa lakini humu jf kazi yenu ni kukejeli tu.Basi mfanye vya kwenu tuvione.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.